Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo mnatutongoza na kufikiria kuwa sie ni wazuri wakati kiuhalisia ni wa kawaida tu,,kimbembe tunapokuja kuonana na unakuta chura haipo,sura kama ya magu ,miguu kama muwa ndipo mnakuja kututangaza humu kuwa tuna matiti kama matikiti ya morogoro
Mi ni hayo tu