Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hahahahah
Ushamjua eeee.
Yaani anapiga picha ofisini afu anakutumia.
Hahahaha, milioni na laki 9 masikhara

Acha tu.
Humu wanaume wote nawaona sawa tu.
I'd fake na hata maisha yao fake tu.
Huyo jamaa yupo humu nimemuona kule mwanzoni

Mwisho nimeweka NUKTA 😂😂😂 Shikamoo Madame. 😂😂😂
 
Ila Watanzania waliowengi ndiyo hao.

Ila mbona hawahawa watoto wa wakulima ndiyo wanawatongoza mitaani na mnawakubali dada zetu....


sisi wakulima wa JF tumewakosea nini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaaa usikute ni tapeli huyo. Mie Kuna wachuga Ana swagga hizo hizo. Eeeh
Duuh naona mnatusema wa chuga aseeh.

Mbona hatuna hizo pan'gan'ga.

Honestly speaking.

JF tunawashamba wengi saana kwa wanawake na wanaume pia (huenda nami nipo).

Na kuna watu humu naamini tukiamua kuwa real kukemea kila ushamba wa humu tutachukiwa saana ilihaki tunajipumzisha huku kijiweni.
 
Inaonekana umegongwa na Wana JF wa sampuli tofauti tofauti

Wenye kampuni, magari, nyumba, chumba kimoja n.k

Hongera sana
 
Haha...kwa sisi MMU na chitchat sio wwnaume mzee baba/mama?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa umenichekesha sana inawezekana mkawa mna jinsia mbili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa umenichekesha sana inawezekana mkawa mna jinsia mbili
Hawa watu matusi yao hayavumiliki.

Amefanya nijichungulie tena.

Au wanaume wa jukwaa la siasa kina britanicca wanazo mbili mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…