Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

miminimkulimaakachekasana

Shida ilianzia hapa, Madem wa JF wote mnajitia wazuri kumbe hamna kitu.

Wote mnajitia mnakazi nzuri, biashara, kumbe hamna kitu

Wote mnajitia mnanyumba /mmepanga Apartment ..kumbe Hamna kitu.


Sasa ,kikawaida, Ukitaka kumfanya Malikia Akupende. Inabidi uishi kifalme .

Ndio sababu, Wanaume pia wameamua kuwaishi ivo sababu, mnapenda mapicha mapicha.

Na niseme tu ukweli huu....WENGI HUMU MMEGONGWA PASIPO HATA KUTARAJIA KAMA UNGEGONGWA NA MUHUNI ASOKUA NAKITU ISIPOKUA ULIPENDA MAPICHA MAPICHA YAKAKUINGIZA MJINI.
Mwisho mmeishia
[emoji117]Kubadili ID
[emoji117]kupunguza kasi ya uchangiaji
[emoji117]kuwachukia watu bila sababu
[emoji117]msobadili ID ,mmejikuta mnachat humu lkn Uku unajistukia stukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


VUMILIENI.....NA MTAENDELEA KUGONGWA TU .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitajeee tu. bas yaisheeee




,..............................................................
UKIITAJI VITU USED NA VIPYA
-Aina zote kwa bei. "NAFUU".. ni PM
Kuna[emoji979] Vitanda,Makabati,Magodoro,Laptops,Cameras,Majiko,Mazurka,TV,Showcases Nk
................................,.................................
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] NI MMM HAPA ATA SIJAKUBLOCK

,..............................................................
UKIITAJI VITU USED NA VIPYA
-Aina zote kwa bei. "NAFUU".. ni PM
Kuna[emoji979] Vitanda,Makabati,Magodoro,Laptops,Cameras,Majiko,Mazurka,TV,Showcases Nk
................................,.................................
Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.

Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
 
Mie nilimfanyie vile makusudi maana alisema yeye kuteketeza milioni 6 kwa mwanamke haimshindi.

Yaani nikabaki nacheka tu.
Na nilivyoenda Arusha nikampigia simu aje pale Silver nilipofikia akaona huyu demu ataniachia bill...ndo mazimaaaaaaa!!!
Ungenitafuta hata mm basi japo sina kindo Madame B
 
Ama nini mwanetu, watoto wanatuchukulia kipompipompi tatizo! Mikazo kama kawaida yani, kama ishu ni kabobo ziko za ela otee arif! Ila mwisho wa siku kila mtu apate anachostahili sio kuleteana mizinguzi! Mtu akielewa kali apasuke tu ma PM , mna meet site mnayajenga kiroho sayona! Mbona flengwa tu babaake!
Chalii ya Ar eeh, maana hayo maneno, kabobo kipompipompi duuh sijaelewa kituu[emoji3] [emoji3] ,umetisha arifuu
 
Muongo unamjuaje?
Hahaaaaa mimi nikitaka kukutana na mtu staki Kujua u handsome sijui una nini hzo ni minor issue zisizo na msingi. Mi naweza kuvutiwa na yoyote atakaye gusa moyo wangu na mitazamo yangu basi. Shida ni watu Kuwa waongo sijui Ili iweje
 
Hahahah tabia na maisha yetu wabongo tunayajua bana hamna haja ya kujikweza sana, tatizo wanawake wana fall inlove sana na uongo kuliko ukweli maana uongo umebeba yale yote wanayopenda kuyasikia, ukijitia msamaria mwema unaenyoosha maelezo kama ruler mapema tu lazima utaishia kwenye bao la mkono tu na buroku!

Nachoona wacha maisha halisi ya mtu yabaki sirini, kama mtoto akielewa kali basi achojoe kikosti, kitu ndina kisha itabaki story kila mtu akishamwaga.

Ukifuatilia humu mbona wanawake wenyewe wanajikweza sana tu, kila mrembo anajifanya yupo level za Klynn ama Zari Ze Bosslady so lazma wahuni nao wajivike matagi tu hamna namna! Kila mwanamke ana class na mzuri ana kazi nzuri na kaolewa ila hatujui kama wengine jau na pengine ni wadangaji tu wale wa huna kitu hupati kitu! Hivyo maigizo yametawala pande zote tu tupunguze lawama.

Warembo, kama umewaka kunjua roho mpe shavu muhuni kiroho safi maana raha wote mtapata, hivi vitu sio vya kuringiana kabisa muhimu mjali kinga tu. Ifikie time tukue tuache utoto jamani.
Kuna rafiki yangu Mmoja kipindi anasoma IFM Mwaka wa kwanza aliwahi opoa Mtoto mkali Sana IFM nzima alikuwa huyo manzi ndo anakaribia kumaliza chuo.
Ishu ilikuwaje ..jamaa alimdanganya manzi kuwa yeye anafanya kazi wizara YA fedha hapo wanaongea kwenye simu.akampanga Demu kuwa atampa ajira wizara YA fedha.basi bwana siku YA Kuonana manzi akapigiwa simu aende wizarani.kufika mshenzi akashuka kutoka ghorofani akapokea vyeti na cv za Demu.then akampa 50,000 Demu aende akale lunch mengine watawasiliana kwenye simu..jamaa alikaaa na cv YA Demu week. AkamuitA alimla three times.. Then akaambiwa asubiri kuitwa Kazin...ndo ikawa nitolee..bila uongo papuch haziendi sema ukiamua kudanganya ongea uongo ambao ni Sawa na ukweli kama wa dude.
 
Back
Top Bottom