Ofcoz wazur wapo , ila hii tendency ya kila mdau wakike JF kujitia bonge la kisuuuuuu , mwingine unakuta anajilinganisha na akina Zari ...aaaahhhhh wabadilike nawao.
Nachoweza sema nihiki.... Ktk asilimia 100% humu JF ni asilimia 1% tu ndio madem visu,, nahawa madem visu ID zao sio maarufu sana, hawaongei sanaaa. .
Ila hawa wanaojinasabisha humu kutwa nzima kua ni Wazuri , ayayayayayya NI WABOVU KUPINDUKIA .
Wee mtu Sura anakoswa ..hata Umbo anakoswa.. Basi hata Makalio KAKOSWA ..basi hata miguu ilojaa , KAKOSWA ...
Basi angalau awe kibonge bonge na minofu ..ILO NALO HAMNA.
Unakuta mtu ni Mwembambaaaaaaa daaaahh!!!
Niiv sijawah kutana namtu humu