Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hahahah umenikumbusha mbalii...Ila kimsingi ukweli haujawahi fanikiwa kukonga nyoyo za msichana. Wanaoukubali ukweli ni 1 ina million girls. Ukishaanza kujiliza liza tu meseji hazijibiwi tena. Session closed!
Sindo hapo sasa. Wanafunga vioo kabisa. Mi ukweli namwambia Mungu tu
 
Kwani mtu anakudhalishaje?

Mie sijafanya mkuu, yani nijiunge kufatilia mtu Ili Iweje, mimi napenda marafiki Ila kwa tabia za humu Kuja kuzalilisha mara sura, mtu hana kitu huoni huo ni ujinga.
 
Kwahiyo inabidi nikija nije kimasikini masikini?

Hivi mtu anakuambia ana gari bila hata kumwuliza?
Hahaaaaa wewe mimi mjanja mno naweza ku kusikiliza nakuchora tu, sasa mimi uongo sijui wa gari I don't buy it, sijui nini tena ukija hivo naku shit mapema
 
Huyu jamaa kiboko ya uchafu...nilikuwa na uncle wangu mmoja ndio zilikuwa zake hizo yani Dude akasome upya. Amewala sana wamama na wadada wenye pesa ndefu hapo mjini kwa mbinu hizo hizo. Big Steve, mapapaa wote kina msofe, Said Jenguo ndio walikuwa washkaji zake early 2000's maana yeye alikuwa mjanja na ana muonekano wa pesa akikwambia ni mfanyabiashara mkubwa ama mkurugenzi wa wizara flani huchomoki maana vyombo alivyotupia ni hatari. Wanawake walikuwa wanawaka nae sana yani kupiga hizo million 3-5 ilikuwa kawaida kila weekend ni bata na shopping na hali mama za ovyo ni ye anagonga zile kali sana na zenye pesa ndefu! Gari anazotembelea sasa huulizi mara mbili ukiingiamo tu umekubali bila masharti maana jamaa li handsome kweli na lina sound!
 
 
Hujawai kukutana Na mtu sasa umejuaje sio visu?
 
Nakupata vyema mzee baba.
 
Kuna sehemu ukienda unakutana na watu wa aina flani hapo hapo wa changamkia fursa
Sehemu gani nizijue kama hautojali.

Vijana unamaanisha kuanzia umri gani hadi umri gani?
 
Exactly jamaa anawaita vikongwe...akimtengenezea mazingira Demu hachomoki na akifeli ni ASILIMIA Chache Sana.anasema ameingia kwenye mdomo WA mamba.ana visa KIBAO sema kuandika hapa ndo tatizo...siku hiyo anameet na Demu alivaa kitambulisho fake akakigeuza vile vya shingoni...
 
Kuna sehemu ukienda unakutana na watu wa aina flani hapo hapo wa changamkia fursa
Lakini kwanini unakuwa na mawazo ya hivyo?

Kwamba lazima uende sehemu fulani watu wakupe fursa?

Kwanini wewe usiwe ndiye mtoa fursa.

Natamani kujua hili kwa undani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…