Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hahah huyo jamaa ningekuwa nae karibu ningekuwa nacheka sana maana wana story sana wazee wa kabobo!
Yule ni samjo aliwahi jifanya rubani akabadili na lafudhi akawa anaongea lafudhi ya ntu asiye mtz..ili Ang'oe manzi..uongo wake ni Sawa na ukweli. Ana visa KIBAO VYA kuwapanga wanawake...mimi nikikumbuka mishe nakuwa nacheka tuu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah sina effect lakini, sisi wengine kama Berbertov hatuko sharp kama wakina Messi
Ukiona unakuwa na mwanamke na haujamtongoza ujue hajakuvutia...wala sio udomo zege.

Kulala kwa fanani ni uzembe wa hadhira. [wanawake tuelewane sijasema ni mbaya aaa nimeandika hajakuvutia].
 
Sasa hapo ukimaliza swagga zako, anza kumsifia mpk aseme basi inatosha, wewe endelea tu kumsifia

(Usijisikie vibaya hivyo vitu unavyomsifia hata kama hana hata kimoja)

Kuna muda atajua kama unachojisifia au unachomsifia havipo. Lakini ataishia kutabasamu tu[emoji23][emoji23]

Na ukiona katabasamu tu ujue dalili njema
 
Ulishafanikiwa kwa hii njia au mimi chambo?
 
Ukiona unakuwa na mwanamke na haujamtongoza ujue hajakuvutia...wala sio udomo zege.

Kulala kwa fanani ni uzembe wa hadhira. [wanawake tuelewane sijasema ni mbaya aaa nimeandika hajakuvutia].

Amna kuna sisi wengine kutongoza kwetu, ni Big Deal sana, ingekuwa inakubalika ki Afrika Afrika bora watu wangekuwa wanaambiana ukweli Tu kwamba Mimi nataka kitu flani kutoka kwako
Kuliko kuanzia mbali kutongoza wakati hata hamtaki wala hamfikirii hizo forever and always
 
Sijamaliza kusoma lakini,
Mbona na wewe unajishushia CV.
Kigulu nyembe kwenye miji ya watu,
Mtakuja kubakwa mje mnalialia hapa.
 
Hahahahahaha..
Kila siku nikisoma mada za humu za namna hii nasema nami nitafute kamdada kazuri kazuri ka JF lakini nasahau.

Inaonekana mnaenjoy saana...Unakuwa na mademu sita unachitchat nao ila nje hawajuani....Pm unamwambia babe you are alone.
 
Naomba ID nataka niombe kupanda gari yake na mimi
Kuna Jamaa humu ana gari Kali huyo mama yangu mzazi sijawai ona. Anaipenda gari yake kuliko chochote.ila ni kauzu balaa.
Ila kwa kifupi humu kuna watu wana mpunga sio kitoto sema wanapenda tu papuchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…