Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Umenichekesha sana, JF kuna nyuzi huwa nikizisoma naichia kucheka huwa najiuliza hawa watu wapo serious au wanatania[emoji3][emoji3][emoji3]
Ohooooo Simara wee una muda gan humu? Au unajisahaulisha yaheeee.

Hii ndo JF, siunajua penye wengi ?? . Humu kuna Wafaidika na wahasarika .

Ukiingia King imekula kwako..unakuja kushtuka umeshatafunwa....[emoji3][emoji3]
Unabakia tu kulaan laan ovyoovyo kimoyomoyo hahahaha namtu hata kwake hupajui .

Ndo mwanzo wa kufungua nyuzi unalia lia ovyo km mtoa mada !!.
 
Anataka home kajipanga anafikiri anaenda kukutana na bonge la brazamen,maskini dada wa watu anajifunza hadi matumizi ya uma na kisu kwenye kula hahahaha
Hahahaahahahhaah anaenda course ya kula kwa uma na kisu halafu anakuja kukutana na mtu ambae hata kula kwa mkono hawezi vizuri achilia mbali kijiko doh[emoji119] [emoji119]
 
Ohooooo Simara wee una muda gan humu? Au unajisahaulisha yaheeee.

Hii ndo JF, siunajua penye wengi ?? . Humu kuna Wafaidika na wahasarika .

Ukiingia King imekula kwako..unakuja kushtuka umeshatafunwa....[emoji3][emoji3]
Unabakia tu kulaan laan ovyoovyo kimoyomoyo hahahaha namtu hata kwake hupajui .

Ndo mwanzo wa kufungua nyuzi unalia lia ovyo km mtoa mada !!.
Nipo toka 2014 Mkuu, pole yao wote waliokutwa na hayo maswahibu
 
Hao hawajipendi tu wachagga very handsome mno hata akiwa mlevi hakuharibii mtoto sura.

Jamani wachagga mahandsome njooni huku
Nafikiria haraka haraka hapa wachaga ninaowajua yes huwa sio wabaya ila daah huwa sura zao zimechoka sana sababu ya pombeee..
 
Hao hawajipendi tu wachagga very handsome mno hata akiwa mlevi hakuharibii mtoto sura.

Jamani wachagga mahandsome njooni huku
Wapunguze pombe..... kuna mmoja namjua yaani nilimpita mpaka akanistua kachoka sura daah kijana mdogo hela ipo ilaaa pombee...😀😀😀 ha ha ha sura mtoto anaweza asichukue kwa baba akachukua kwa mama ikawa shida vile vile
 
Back
Top Bottom