Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Nipo toka 2014 Mkuu, pole yao wote waliokutwa na hayo maswahibu
Ahaaaa kumbe mwenyeji wangu..sasa huyajui hayo..au hauna mahusiano mazuri nawatu humu!?.... Ishi nawatu vzur ule vzuri[emoji23][emoji23][emoji23]

Poa mkuu asubuhi njema kwako.
 
Wapunguze pombe..... kuna mmoja namjua yaani nilimpita mpaka akanistua kachoka sura daah kijana mdogo hela ipo ilaaa pombee...[emoji3][emoji3][emoji3] ha ha ha sura mtoto anaweza asichukue kwa baba akachukua kwa mama ikawa shida vile vile
Kweli pombe si nzuri inachakaza mwili asilimia ka hamsini si bora mchagga mlevi anayejali watoto na kutafta pesa.

Hahaaaaa hyo ya sura niliambiaa eti mtoto afanane na babake wakati wa tendo unafumba macho, so na mimi nitafumba Ili afanane na babake
 
Ahaaaa kumbe mwenyeji wangu..sasa huyajui hayo..au hauna mahusiano mazuri nawatu humu!?.... Ishi nawatu vzur ule vzuri[emoji23][emoji23][emoji23]

Poa mkuu asubuhi njema kwako.
Kweli siyajui, mahusiano mazuri ya kupeana umbea mkuu hata siyataki😀😀😀 acha niwe nashangaa tu kama hivi.

Na kwako pia Mkuu.
 
Hahaaaaa wachagga hawanaga sura chachu za kutisha watoto. Ngoja nianze kumtafta tena warombo ni weupe hatari na mie cheusi mangala si nitapata katoto kazuri flani hivi
Hahahaha nishakwambia mie wa Rombo unamtafuta mwingine wa nini? ?ila uhandsome kwa kweli umenipitia kushoto naishia kuuona kwa majirani tu usidanganyike weusi wapo wa kumwaga mithili ya kiwi
 
Doooohh nashangaa imekuaje sikuuona uzi mzuri na wenye mantiki kubwa kiasi hiki...et ndo nauona leo..

Facts

Facts

Facts

Tupu
 
Hata sio stress mtu kuanzisha mada au ku comments maoni yake ndo mitazamo hyo kinachotakiwa uvumilivu tu. Mbona mie shaanzishiwa mada humu so hamna cha ajabu. Sasa watu wasipoanzisha mada sikuta doda. Kulalamika ni nature ya mtu tena hutibu maradhi mengi sana
Kuna mtu alikuanzishia thread? No wonder you react the way you do.
 
Kweli pombe si nzuri inachakaza mwili asilimia ka hamsini si bora mchagga mlevi anayejali watoto na kutafta pesa.

Hahaaaaa hyo ya sura niliambiaa eti mtoto afanane na babake wakati wa tendo unafumba macho, so na mimi nitafumba Ili afanane na babake
Yes huwa wanajali sana watoto wao kwa hilo nawapongeza sijawahi sikia mchaga kakataa mtoto!!

Ha ha ha umenifundisha na mimi nitakodoa macho kama yotee ili aje copy yangu
 
Back
Top Bottom