Wilo12
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 287
- 423
Yule ni samjo aliwahi jifanya rubani akabadili na lafudhi akawa anaongea lafudhi ya ntu asiye mtz..ili Ang'oe manzi..uongo wake ni Sawa na ukweli. Ana visa KIBAO VYA kuwapanga wanawake...mimi nikikumbuka mishe nakuwa nacheka tuu...Hahah huyo jamaa ningekuwa nae karibu ningekuwa nacheka sana maana wana story sana wazee wa kabobo!