Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahha
Mi nikiona watu wana anzisha mijadala ya kuwalalamikia watu humu, naona hizo ni stress tupu.
Now I know. Ila mbona nimeonana na watu hatujakulana? watakua wazembe eeh kama hawatimizi nia zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona umejiongezea siku za kuishi.
Umenichekesha sana, JF kuna nyuzi huwa nikizisoma naichia kucheka huwa najiuliza hawa watu wapo serious au wanatania[emoji3][emoji3][emoji3]
Ila wachagga wengi huwa ni mahandsome wewe muongo. Hakunaga mchaga mubaya
Kwakweliii..... Itakua amechoka kudanganywaHuyu dada sijui alikua anawaza nin aisee
Hahahaha ,we huko km mm
Now I know. Ila mbona nimeonana na watu hatujakulana? watakua wazembe eeh kama hawatimizi nia zao
Anataka home kajipanga anafikiri anaenda kukutana na bonge la brazamen,maskini dada wa watu anajifunza hadi matumizi ya uma na kisu kwenye kula hahahahaKwakweliii..... Itakua amechoka kudanganywa
Ohooooo Simara wee una muda gan humu? Au unajisahaulisha yaheeee.Umenichekesha sana, JF kuna nyuzi huwa nikizisoma naichia kucheka huwa najiuliza hawa watu wapo serious au wanatania[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaahahahhaah anaenda course ya kula kwa uma na kisu halafu anakuja kukutana na mtu ambae hata kula kwa mkono hawezi vizuri achilia mbali kijiko doh[emoji119] [emoji119]Anataka home kajipanga anafikiri anaenda kukutana na bonge la brazamen,maskini dada wa watu anajifunza hadi matumizi ya uma na kisu kwenye kula hahahaha
Inawezekana lkn wanacholeta na wanavyo comments ni hali halisiYaani maana sijawahi ona hayo matukio humu labda sababu nipo nipo tu[emoji23][emoji23][emoji23] sasa nikiona nyuzi na comment kama za kwenye huu uzi naona ni watu wameamua kufurahisha tu[emoji3]
Nipo toka 2014 Mkuu, pole yao wote waliokutwa na hayo maswahibuOhooooo Simara wee una muda gan humu? Au unajisahaulisha yaheeee.
Hii ndo JF, siunajua penye wengi ?? . Humu kuna Wafaidika na wahasarika .
Ukiingia King imekula kwako..unakuja kushtuka umeshatafunwa....[emoji3][emoji3]
Unabakia tu kulaan laan ovyoovyo kimoyomoyo hahahaha namtu hata kwake hupajui .
Ndo mwanzo wa kufungua nyuzi unalia lia ovyo km mtoa mada !!.
ππππ basi waendelee ili tuzidi kufurahiHahahaha,ila Inawezekana lkn wanacholeta na wanavyo comments ni hali halisi
Nafikiria haraka haraka hapa wachaga ninaowajua yes huwa sio wabaya ila daah huwa sura zao zimechoka sana sababu ya pombeee..
Nakuonaga unachat nae sanaNaomba ID nataka niombe kupanda gari yake na mimi
Nakuonaga unachat nae sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi waendelee ili tuzidi kufurahi
Wapunguze pombe..... kuna mmoja namjua yaani nilimpita mpaka akanistua kachoka sura daah kijana mdogo hela ipo ilaaa pombee...πππ ha ha ha sura mtoto anaweza asichukue kwa baba akachukua kwa mama ikawa shida vile vileHao hawajipendi tu wachagga very handsome mno hata akiwa mlevi hakuharibii mtoto sura.
Jamani wachagga mahandsome njooni huku