Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ahaaaa kumbe mwenyeji wangu..sasa huyajui hayo..au hauna mahusiano mazuri nawatu humu!?.... Ishi nawatu vzur ule vzuri[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo toka 2014 Mkuu, pole yao wote waliokutwa na hayo maswahibu
Utatamani usishukeEmbu nitajie herufi yake ya kwanza ya ID yake. Mi nataka anipe lift tu nipande gari zuri.
Utatamani usishuke
Ha ha ha siku inaishaaa vizuriiiiHahahaha, niko kwa Mangi hapa ,baada ya domika ya Leo napata ugimbi huku nasoma hii nyuzi
Kweli pombe si nzuri inachakaza mwili asilimia ka hamsini si bora mchagga mlevi anayejali watoto na kutafta pesa.Wapunguze pombe..... kuna mmoja namjua yaani nilimpita mpaka akanistua kachoka sura daah kijana mdogo hela ipo ilaaa pombee...[emoji3][emoji3][emoji3] ha ha ha sura mtoto anaweza asichukue kwa baba akachukua kwa mama ikawa shida vile vile
Kweli siyajui, mahusiano mazuri ya kupeana umbea mkuu hata siyataki😀😀😀 acha niwe nashangaa tu kama hivi.Ahaaaa kumbe mwenyeji wangu..sasa huyajui hayo..au hauna mahusiano mazuri nawatu humu!?.... Ishi nawatu vzur ule vzuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Poa mkuu asubuhi njema kwako.
Hahahaha nishakwambia mie wa Rombo unamtafuta mwingine wa nini? ?ila uhandsome kwa kweli umenipitia kushoto naishia kuuona kwa majirani tu usidanganyike weusi wapo wa kumwaga mithili ya kiwiHahaaaaa wachagga hawanaga sura chachu za kutisha watoto. Ngoja nianze kumtafta tena warombo ni weupe hatari na mie cheusi mangala si nitapata katoto kazuri flani hivi
Kuna mtu alikuanzishia thread? No wonder you react the way you do.Hata sio stress mtu kuanzisha mada au ku comments maoni yake ndo mitazamo hyo kinachotakiwa uvumilivu tu. Mbona mie shaanzishiwa mada humu so hamna cha ajabu. Sasa watu wasipoanzisha mada sikuta doda. Kulalamika ni nature ya mtu tena hutibu maradhi mengi sana
Yes huwa wanajali sana watoto wao kwa hilo nawapongeza sijawahi sikia mchaga kakataa mtoto!!Kweli pombe si nzuri inachakaza mwili asilimia ka hamsini si bora mchagga mlevi anayejali watoto na kutafta pesa.
Hahaaaaa hyo ya sura niliambiaa eti mtoto afanane na babake wakati wa tendo unafumba macho, so na mimi nitafumba Ili afanane na babake
HahahahaKuna mtu alikuanzishia thread? No wonder you react the way you do.
Kudadake mwaka ujao afe kila afe beki lazima ninunue gari na mimi. Sio kwa sifa hiziUtatamani usishuke
Boss we unacheka tuHahahaha
Hahaha dah umeua kabisaNafikiria haraka haraka hapa wachaga ninaowajua yes huwa sio wabaya ila daah huwa sura zao zimechoka sana sababu ya pombeee..
Umejuaje?ndo manake tunajali muda.Swali moja straight na jibu moja straight.
Jibu ndio au hapana. Hahahahahaha
Kudadake mwaka ujao afe kila afe beki lazima ninunue gari na mimi. Sio kwa sifa hizi
Nafikiria haraka haraka hapa wachaga ninaowajua yes huwa sio wabaya ila daah huwa sura zao zimechoka sana sababu ya pombeee..
Boss we unacheka tu
Uko wapi nikutunuku chupa moja wa wine hahahahaIla wachagga wengi huwa ni mahandsome wewe muongo. Hakunaga mchaga mubaya