Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Pamoja mkuu....pep analakujifunza kutoka kwa zaheraMangi naona umefurahi..hongera kwa kumkalisha City.
Hahaha hawakupa na siri nyingine utujuzeNilipewaga siri eti na mabibi
Hivi Toto party inaisha saa ngapi nataka nimpeleke dogoHahahhaa..
Tumefika huko ??mm na ww nani anatokwa povu ??ebu angalia comment yako vzur,,usijistukie bidadaAcheni kujifariji na uchoko wenu eti I'd maarufu ni wabovu nyie kubalini hamna mbele wala nyuma tu kama namikiki tecno wereva yangu hapa najiamini na ubovu wangu. Hahaha huu uzi umewatoa povu wanaume pole ni pambaneni na Hali yenu
Uko wapi nikutunuku chupa moja wa wine hahahaha
Ndio shoga.Hahahahahahahaa. Ila wewe hunaga akili. Eti ya usumbufu wako. Hahahahaha.
Duh pole sanaNdio alianzisha uzi wa kipuuzi hafu wa uongo mtupu. Ndo mana kukutana na mwana JF hatari sana
Duh pole sana
Tumefika huko ??mm na ww nani anatokwa povu ??ebu angalia comment yako vzur,,usijistukie bidada
Hahaha hawakupa na siri nyingine utujuze
Sanaa.Hahaaaaa ukweli mchungu huu
Sanaa.
Ila kwenye uzi huu huu tumewajua wanaume waongo na wakweli.
Ila yule mkaka wa Arusha alijua kuninyoosha kiukweli
My wii...kaka angu Cole Williams nadhani hana hizi tabia eeeee.Mweeeeeee Asubutuuuuuuuu ndo walivyo kumbeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My wii...kaka angu Cole Williams nadhani hana hizi tabia eeeee.
Umtunze mzeeke pamoja
HahahhhaNi bora tu Kuwa halisi na maisha yako huko kutomgoza mara namiliki bank ya Tanzania ni uzwazwa. Wewe mkaka wa arachuga njoo huku
Acheni kujifariji na uchoko wenu eti I'd maarufu ni wabovu nyie kubalini hamna mbele wala nyuma tu kama namikiki tecno wereva yangu hapa najiamini na ubovu wangu. Hahaha huu uzi umewatoa povu wanaume pole ni pambaneni na Hali yenu
Safi sana my wii.Hahaaaaa Wii kaka yako hana hizi tabia lile Guta aliloniambia kweli analimiliki. [emoji23][emoji23][emoji23]
Miss you [emoji7]