Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Acheni kujifariji na uchoko wenu eti I'd maarufu ni wabovu nyie kubalini hamna mbele wala nyuma tu kama namikiki tecno wereva yangu hapa najiamini na ubovu wangu. Hahaha huu uzi umewatoa povu wanaume pole ni pambaneni na Hali yenu
Tumefika huko ??mm na ww nani anatokwa povu ??ebu angalia comment yako vzur,,usijistukie bidada
 
mkiigiziwa maisha mnakuja kutangaza huku na je mkijua maisha halisi ya kila mwanaume humu jf si ndio mtazidi kutangaza kwamba fulani analala chini mara fulani anakibamia.....mwanamke aliyezoea kudanganywa ndiye anapatikana kwa njia ya uongo ila mwenye utashi na uelewa mzuri hapatikaniki kwa namna ya uongo
 
Ni bora tu Kuwa halisi na maisha yako huko kutomgoza mara namiliki bank ya Tanzania ni uzwazwa. Wewe mkaka wa arachuga njoo huku
Sanaa.
Ila kwenye uzi huu huu tumewajua wanaume waongo na wakweli.
Ila yule mkaka wa Arusha alijua kuninyoosha kiukweli
 
.
tapatalk_1542202268307.jpeg
 
Ni bora tu Kuwa halisi na maisha yako huko kutomgoza mara namiliki bank ya Tanzania ni uzwazwa. Wewe mkaka wa arachuga njoo huku
Hahahhha
Akija najisaidia mafungu mafungu mpaka kwetu Lushoto.
Huwa najiuliza ni wangapi anaowapa uongo kama huu?
Wangapi wameingia kwenye 18 zake na akawalala kwa sytle hii?

Ila yule kaka mzuri sana ila aache kufake life.
 
Kujikubali nako K bwana [emoji4]
Acheni kujifariji na uchoko wenu eti I'd maarufu ni wabovu nyie kubalini hamna mbele wala nyuma tu kama namikiki tecno wereva yangu hapa najiamini na ubovu wangu. Hahaha huu uzi umewatoa povu wanaume pole ni pambaneni na Hali yenu
 
Hahaaaaa Wii kaka yako hana hizi tabia lile Guta aliloniambia kweli analimiliki. [emoji23][emoji23][emoji23]
Miss you [emoji7]
Safi sana my wii.
Ukweli humuweka mtu huru.
Usidanganyike na wanaume wa humu wii
 
Back
Top Bottom