Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Afi alikuwa analazimisha kiki kwa pikipiki.
Ila jamaa inaonekana ndo zake...maana nilikutana nae Fb akanipa namba zake na basa ya kuchunguza nikagundua ni yeye mtupu.
Halafu madam b mbona nilisikia umeolewa huko arachuga Na bilionea?
 
Pole kwa yaliyokukuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nachokupendea wewe msema kweli mara zote[emoji3][emoji3] mwamba bado yuko bureau de change
 
Halafu madam b mbona nilisikia umeolewa huko arachuga Na bilionea?
Hahahaahah....bilionea mchezo.
Nani anataka adhabu ya kulala bila chupi?
Hata nawe nasikia alitaka kukuoa...mliishia wapi?
Nasikia mpaka kwao alikutambulisha, Jf raha sana jamani
 
Hahahaahah....bilionea mchezo.
Nani anataka adhabu ya kulala bila chupi?
Hata nawe nasikia alitaka kukuoa...mliishia wapi?
Nasikia mpaka kwao alikutambulisha, Jf raha sana jamani
Ahahaaa mi nilimkataa bna mtu Simjui nimpeleke wapi halafu Mimi ataniweza basi me napenda mwanaume simple.ila last time aliniambia amekuoa eti.kumbe umemkimbia? Sio fair bna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…