sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Nikiikumbuka nitakuambiaShoga angu ning'ate sikio basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiikumbuka nitakuambiaShoga angu ning'ate sikio basi
Nikiikumbuka nitakuambia
Ana I'd tatu huyo mjamaa.Kabadili ID mpenzi.
Hata mm nishamjuaHata mi nishamjua [emoji23][emoji23]
Mtajeni bas, mnafuga maradhi ujueAna I'd tatu huyo mjamaa.
Kil I'd anajitambulisha anaishi mikoa tofauti.
I'd ya kwanza anasema yeye ni kijana mdogo, yapili na ya tatu ni mtu mzima
Mkichat sana anakuomba pesa
Halafu madam b mbona nilisikia umeolewa huko arachuga Na bilionea?Afi alikuwa analazimisha kiki kwa pikipiki.
Ila jamaa inaonekana ndo zake...maana nilikutana nae Fb akanipa namba zake na basa ya kuchunguza nikagundua ni yeye mtupu.
Pole kwa yaliyokukuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sisi wanawake wa humu Jf, tunajua fika kwamba wanaume wa humu....
Wote wana pesa,
Wote wana magari,
Wote wana elimu kuanzia degree,
Wote wamejenga,
Wote wanajua kuvaa,
Wote wazuri....
Ila sasa mie nashindwa kuelewa, kwanini ukikutana na baadhi yao wengi hawako kama wanavyojishaua humu Jf?
1. Anasema ana pesa, ila ukikutana nae ni unga unga mwana mpaka utashangaa ila akiwa jukwani sasa Mengi atasubiri.
Mjue mnajishushia CV
2. Mada za kuchangia zinazohusu magari, naye yumo tena atataja mpaka aina ya gari analomiliki, ila nje ya keyboard ukikutana nae atakutembeza na bodaboda mpaka makalio yaote sugu...alivyo ni tofauti na mmiliki wa hata baiskeli ya guta.
Mjue mnajishushia CV.
3. Kwenye jukwaa la elimu kila mada inayohusu wenye elimu za juu utamkuta akichangia huku akijitapa yeye ni msomi wa degree au masters ila nje ya keyboard sasa, anamiliki certificate of uzushi na uwongo from Kamgambile college.
Mjue mnajishushia CV.
4. Kuna mdau humu nilikuwa napenda sana post zake kuhusu assets anazomiliki yakiwemo makampuni 2 na nyumba 1 pamoja na kijiusafiri.
Siku nakutana nae sikuamini kama ndio yeye, jamaa anaishi chumba ambacho mie kwetu naweza kufugia sungura wawili tu.
Yule jamaa mpaka leo kani-ignore sijui nilimkosea wapi.
Mjue mnajishushia CV.
5. Kuna mmoja nilienda kukutana nae La Chaaz Sinza.
Jamaa nilikutana nae jukwaa la Mitindo na utanashati akijitanaibu kuwa yeye ndie mwanaume smart Jf nzima.
Siku naonana nae sikuamini macho yangu.
Kwanza juu kapiga singlend ya kukata mikono, ana kigimbi sio cha nchi hii.
Nywele za kwapa zimekuwa za brown, jasho sasa kama tuko ndani ya mgodi.
Chini kavaa kipensi cha jeans kimekaa kama kipedo, mguuni ana zile ndala nyeupe zinazouzwa Kariakoo.
Nilivyofika pale nikafungua jukwaa la mitindo nikawa nasoma comment zake huku namuangalia kiupande ili ni-compare nae.
Wanaume acheni kujikweza.
Mjue mnajishushia CV.
6. Kwenye uzuri ndo sisemi.
Aliyekwambia kuvaa miwani ndio uzuri nani?
Sema sura yako ilivyo ili nijue nadili na mtu wa aina gani nilikutana nawe.
Mtu anajisifu handsome wakati anasura ya kumtishia mtoto wakati wa kula na wakati wa kulala.
Mjue mnajishushia CV.
Mbona huku Jf kuna wanaume wako real tu jamani!!!
Humu Jf kuna wanaume ambao akisemacho humu ndicho hikohuko utakutana nacho ukionana nae.
Mie nilijua waongo ni sisi tu, kumbe hata wanaume hamvumi ila mpo.
Utakuta mwanaume anahangaika kujikwenza kwa mwanamke kwa kujisifia jukwaani, ila ukienda nae Pm, utapasuka kwa kicheko.
Sisi wanawake tunafanya hivi kwa ajili ya kuwanasa wanaume, hasa kwa mwanaume unafanya ili iweje?
Wanaume punguzeni mbwembwe.
Msuli haufungwi kwa mkanda.
Kuweni real bhana samtaim bahati mnazipeperusha wenyewe.
Unahangaika nami Pm mwezi mzima, siku ya kuja kuonana nawe najikuta najutia bando langu wakati nachat nawe kipindi chote hiko.
Kuweni serious bhana wanaume wa humu.
Mbona kuna wengine tunapenda wanaume wasio na mvuto?
Tunawapenda wasio na magari wala nyumba wala makampuni wala wenye hizo six pack?
Mtajificha nyuma ya keyboard mpaka lini?
Ndo yaleyale, mnakutana kwenye meetings badala ya kujadili kilichowaleta, mnaanza kumjadili Juma na post zake za kujisifia wakati yuko hapo mbele yenu na hamuamini kama ndo yeye.
Nawaambia wanaume wa JF, MNAJISHUSHIA CV.
Wanaume real wapo...asa nyie endeleeni kufake huku Jukwaani afu tukiyaleta maisha yenu halisi jukwaani muanze kusema wanawake mwalimu wetu kipofu.
Povu ruksa.
Madongo rusha kwa akili maana tutaleta screenshot afu tuanze kutafuta mchawi hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nachokupendea wewe msema kweli mara zote[emoji3][emoji3] mwamba bado yuko bureau de changeHahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Halafu nimekumiss...Umetembea na wanaume wangapi wa JF we kibaka?
Inaonekana huyu jamaa yetu wa chuga amewatafuna sana
HahahhaMtajeni bas, mnafuga maradhi ujue
Umeona eeehMtajeni bas, mnafuga maradhi ujue
Ndio mwaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nachokupendea wewe msema kweli mara zote[emoji3][emoji3] mwamba bado yuko bureau de change
[emoji3][emoji3]ungekubali tu miss uone hizo mapesaAlinichekesha sana huyo Jamaa eti aliniambia will you Mary me miss?
Hahahaahah....bilionea mchezo.Halafu madam b mbona nilisikia umeolewa huko arachuga Na bilionea?
Mambo sio kidogo shoga huko pm moderator wanaona mengiHahaaaaa JF Kuna mambo
Ahahaaa mi nilimkataa bna mtu Simjui nimpeleke wapi halafu Mimi ataniweza basi me napenda mwanaume simple.ila last time aliniambia amekuoa eti.kumbe umemkimbia? Sio fair bna.Hahahaahah....bilionea mchezo.
Nani anataka adhabu ya kulala bila chupi?
Hata nawe nasikia alitaka kukuoa...mliishia wapi?
Nasikia mpaka kwao alikutambulisha, Jf raha sana jamani
Mmh hayaaHahahha
Mie najua name yake halisi tu
Afu si unajua Jf name calling hairuhusiwo shost?
Naogopa ban mie
Halafu nimekumiss...
Ndo nini kunichunia hivo jamani mweeh
Hawafai kabisaUmeona eeeh