Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hahahaha
Jamani, mie siwezi aisee.
Nimeamua kukuachia nafasi yako.

Yupo na huenda anasoma hapa.
Jamaa anatoa ratiba ya vyakula atakavyokula ndani ya nyumba siku akija kunioa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukikuta mwanaume kama huyo c mzm anachembechembe za upumbav
 
Ila semeni yote Mimi nataka mume humu kabla ya tar 31 dec. Ila uwe unaishi dar .hata kama huna gari poa tu najua hutakosa hela ya Uber gari tutanunua tu soon
Miss huyo mume hujampataga tu toka mwaka juzi? Hebu jaribu kubadili ID iwe "miss kumpata" huenda loki ya Nyota ipo kwenye ID ya sasa!
 
Da jane tafadhali kama hivyo vigezo ulivyotaja hapo bado unavitumia nakuomba uje kwangu mapema maana nimekidhi vigezo vyotee, namiliki pumzi tu na uanaume.. Sema fasta nije pm tuyajenge
Hahah
 
Niko mtaani kwako
 
Kama ulimwengu ungekuwa fair hili ulilooandika lingekuwa na maana kubwa na hata hivi vilio visingekuwepo. Most women wants to hear the good side of the story and really get attracted to it! Ukiongelea the odd side umekwisha, ndicho wanaume wamejifunza na wanafanya kila liwezekanalo kuongelea yatakayomvutia mwanamke!
It takes a man with balls to be honest because most men cant afford loosing!
 
Yule ni samjo aliwahi jifanya rubani akabadili na lafudhi akawa anaongea lafudhi ya ntu asiye mtz..ili Ang'oe manzi..uongo wake ni Sawa na ukweli. Ana visa KIBAO VYA kuwapanga wanawake...mimi nikikumbuka mishe nakuwa nacheka tuu...
HahHahh
 
Wahuni wa mjini wakiona au kusikia kauli kama hiyo utasikia, ukiona manyoya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue mapema sana yani watu wamemaliza shughuli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…