cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Jamani ni nani huyo kunguru nahamu nimjue alivo kah
Mtu mmoja mwenye Id tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mmoja mwenye Id tatu
Hehehe nimecheka kama fala yaanMlivyo na gubu,Mnajifariji tu,ukute hamjatongozwa siku nyingi mnabaki kujipa moyo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha
Jamani, mie siwezi aisee.
Nimeamua kukuachia nafasi yako.
Yupo na huenda anasoma hapa.
Jamaa anatoa ratiba ya vyakula atakavyokula ndani ya nyumba siku akija kunioa.
Umesahau ulivyonitapeli?Nawe mbona hii comment imekugusa...unatapelika lakini au unataka kunizungusha tu?
Tehteh...hivi unatapelika?Umesahau ulivyonitapeli?
Hahahah nadhani ufundi mkuu, tujiongeze twende veta maana sura za fiat ni kisangaHvi sisi tusio ma handsome tuna nafasi gani katika Jamii
Miss huyo mume hujampataga tu toka mwaka juzi? Hebu jaribu kubadili ID iwe "miss kumpata" huenda loki ya Nyota ipo kwenye ID ya sasa!Ila semeni yote Mimi nataka mume humu kabla ya tar 31 dec. Ila uwe unaishi dar .hata kama huna gari poa tu najua hutakosa hela ya Uber gari tutanunua tu soon
HahahDa jane tafadhali kama hivyo vigezo ulivyotaja hapo bado unavitumia nakuomba uje kwangu mapema maana nimekidhi vigezo vyotee, namiliki pumzi tu na uanaume.. Sema fasta nije pm tuyajenge
Niko mtaani kwakoHahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Itabidi mkuu tufanye hvyo sekta zote muhimu wamecover mahandsome tuHahahah nadhani ufundi mkuu, tujiongeze twende veta maana sura za fiat ni kisanga
Hahah Braza lini umeanza kuwa Mt zed mnyonge!?Jumapili yangu imekuwa nzuri ila mimi mchovu sina gari,sina nyumba,sina kazi wala sio Hb...utanivumilia
Aisee maana humu type zetu hamna kabisa yani kwa staili hii!Itabidi mkuu tufanye hvyo sekta zote muhimu wamecover mahandsome tu
Kama ulimwengu ungekuwa fair hili ulilooandika lingekuwa na maana kubwa na hata hivi vilio visingekuwepo. Most women wants to hear the good side of the story and really get attracted to it! Ukiongelea the odd side umekwisha, ndicho wanaume wamejifunza na wanafanya kila liwezekanalo kuongelea yatakayomvutia mwanamke!Ila kwanini binadamu tunapenda habari zinazomkweza binadamu unayetaka kuwa naye karibu?
kwanini nauliza hivyo...mwanamme anayemdanganya mwanamke ana duka la dola wakati hana...hii inamaana amemwambia anachotaka kuskia. Angeambiwa usiku sikula mwanangu kalala njaa hata kujibu PM asingendelea.
hivyo hivyo kwa mwanamme...mwwnamke anayekudanganya anachura kumbe hana...anakuplease kisaikolojia maana ndicho unachotaka kuskia.
ukimweleza mimi ni mbaya hamu ya kuchat nawe PM inaisha.
Je, kwanini hatuoendi kuskia mapungufu ya wenzetu ili kama tunaweza kuwasaidia tuwasaidie?
Au tunaangalia faida zetu...tunaenda kufaidika nini?
Binadamu tu wabinafsi saana.
HahHahhYule ni samjo aliwahi jifanya rubani akabadili na lafudhi akawa anaongea lafudhi ya ntu asiye mtz..ili Ang'oe manzi..uongo wake ni Sawa na ukweli. Ana visa KIBAO VYA kuwapanga wanawake...mimi nikikumbuka mishe nakuwa nacheka tuu...
Ujue mapema sana yani watu wamemaliza shughuli!Wahuni wa mjini wakiona au kusikia kauli kama hiyo utasikia, ukiona manyoya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]