Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

am real as my name......machalii wa chuga hatuna mboyoyo mob
 
Story yako haija balance tunasubiri upande wa pili wa story

Ila na wew umetisha First date unaenda La chazz....
 
Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.

Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
Hahaa mxiiieeww daahh
 
Hahaa
Utajua mwenyewe bwana.. Sisi ambao tuna comment hatunaga lolote mnazipitaga comment zetu kwa kuchechemea msiziguse..
Oya masela wadananda endeleeni ivo ivo
 
Namba 4 imekuanika. kwa waelewa wameshajua wewe ni mtu wa aina gani.
 
Nilikuwa sijawahi kuona huu uzi. Aisee!!! Mie na mpenzi wangu Tee wife material tumependana ivyo ivyo, masuala ya kudanga hana. Na jinsi alivyo avatar yake ni same

Lakini nyie wadangaji mnataka mambo makubwa wakati hatuna kitu, Mtaishia patupu! Mimi sina kitu lakini nimekuelewa, nikija kama nilivyo nitaambulia matusi na kejeri au short reply(kama unalazimishwa) nani anaetaka hayo mambo?

Lazima nijipambanue' ni mwendo wa copy na pest wa maisha ya mshikaj wangu pembeni na wewe utaona umefika. Suala la kukutana Ni jingine maana naweza jipanga nika fake vile vile. Mwisho wasiku nimeweka bajeti laki moja mpaka nakudinya kisha nakupga chini na maisha yanaendelea.

Fake lazima. Bila hivyo hupati mtu hapa jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…