Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hahaaaaa hawaji na I'd zao zilizozoeleka sijui wanatuona wajinga. Mimi huzipuuzia I'd mpya. Sasa anashindwaje kujiamini au ndo huko kujishaua mambo safi. Ujue wanatuchosha sana hawa viumbe.
Afu mtoa mada kasahau ile tabia ya wanaume kukutongoza kwa Id mpya.
Mie wakati najiunga jf niliamini humu wote mi akina Mr. Nice guy.
Lohhh!!! Yalikuja kunikuta humu, sina hamu mpaka leo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi napenda ukweli sio blah blah mtaani tu nawakataa wanaume wa heshima sembuse huku jf na fake I'd. Mi napenda mkweli wala. Usiombe ukutane na mwanaume mwenye I'd ka tano zote anakutongoza hafu Kuna mahali anajichaganya
Unajua sisi wanawake tunapenda sana kuambiwa ukweli wa maisha ya mwanaume.
Mie napenda sana mwanaume mkweli ila ndo kila siku naangukia pua...

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Uuuwiiii kwenye miwani mbona kama nasimangwa mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila siku nikisoma mada za humu za namna hii nasema nami nitafute kamdada kazuri kazuri ka JF lakini nasahau.

Inaonekana mnaenjoy saana...Unakuwa na mademu sita unachitchat nao ila nje hawajuani....Pm unamwambia babe you are alone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…