Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Haswaaaaaa mwanamke unamwambia anachopenda kusikia.. [emoji23]
Wacha Weee. Kama anapenda madolar basi unakwenda naye sawa. 😂😂😂 Ikija kujulikana ukweli ndio panachimbika.
 
Wacha Weee. Kama anapenda madolar basi unakwenda naye sawa. [emoji23][emoji23][emoji23] Ikija kujulikana ukweli ndio panachimbika.
Jaribuni kuvaa viatu vya uanaume ndo mtajua haya.. Mwisho ataamua mwenyewe sasa noma aipeleke wapi [emoji1][emoji1]
 
Ila nasi wanawake wa Jf tumezidi midomo.
Ona sasa tunakosa mambo mazuri kwa uongo wao
Asubutuuuu.
Mie ninavyocomment ni maisha yangu tosha.
Sema kuna wadada wengine wanajifanya wako so expensive, ila Allah ndio anajua

Haya mambo ya mitandaoni ni darasa tosha
Muwe mnaambiana kwanza wenyewe.. Bwana sisi sisi ndo tupo mtaani huko
 
Wanataka waonekane vijogoo wakati Wana life gumu. Wakioko vzuri hawana mda mchafu wakutongoza humu na kudaganya
Afu mtoa mada kasahau ile tabia ya wanaume kukutongoza kwa Id mpya.
Mie wakati najiunga jf niliamini humu wote mi akina Mr. Nice guy.
Lohhh!!! Yalikuja kunikuta humu, sina hamu mpaka leo
 
Back
Top Bottom