Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Ndio..wakati anamiliki kampuni yenye magari ya tours zaidi ya 6.Mil 1.9 tuuu yani tuseme 2Mil
Nikashangaa sana.
Hahahahh....humu kila mtu ana mbabe wake jamani.
Khaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio..wakati anamiliki kampuni yenye magari ya tours zaidi ya 6.Mil 1.9 tuuu yani tuseme 2Mil
Usawa huu Word ni wachache wanazo za kuchezea.Mil 1.9 tuuu yani tuseme 2Mil
Hongereni nyie mnaowapa.Wapo wachache sanaa ni kubahatisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli ukizidi mambo hayaendi.. Sema bro nao wanaweka chumvi nyingi Sana.. Na kikubwa zaidi Ni kwamba hizo chumvi huwa hamzielewi auuHao Hawajataka wakweli wenzao ndio sababu.
Hivyo udanganyifu wanaufanya ili waende sawa na wanaotaka kucheza nao? Aiseee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongereni nyie mnaowapa.
Sie wengine ngoja tuendelee kupiga ana ana anado.
Iliyobaki tuchague koroma tu
Mie nilimfanyie vile makusudi maana alisema yeye kuteketeza milioni 6 kwa mwanamke haimshindi.Nimecheka! Anajua kuwa na madolar mchezo. 😂😂😂😂
Swali ni kwa nini wengi wao waongo??? Hayo mengine ni maisha ya mtu binafsi.Kwa mujibu wa maelezo ya mtoa mada inaonesha, amekutana na wanaume wengi wa humu JF nashindwa kuelewa huyu mwanamke ni wa kipekee kiasi gani,
mwisho naomba aje na kwangu anianike na mimi CV yangu.
Ndio..wakati anamiliki kampuni yenye magari ya tours zaidi ya 6.
Nikashangaa sana.
Hahahahh....humu kila mtu ana mbabe wake jamani.
Khaaa!!!
Basi kuepusha mambo Kama mtu unaweka matarajio makubwa kwenye hapana, haya kila mtu atafute za kwake jamani [emoji23][emoji23][emoji23]Usawa huu Word ni wachache wanazo za kuchezea.
Kwanini sasa uwe muongooo?Basi kuepusha mambo Kama mtu unaweka matarajio makubwa kwenye hapana, haya kila mtu atafute za kwake jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na hao waongo njoo kwangu nahisi utayajua mengi zaidi ya hayo.Swali ni kwa nini wengi wao waongo???
Wanaoteketeza hawaongei kabisa..Mie nilimfanyie vile makusudi maana alisema yeye kuteketeza milioni 6 kwa mwanamke haimshindi.
Yaani nikabaki nacheka tu.
Na nilivyoenda Arusha nikampigia simu aje pale Silver nilipofikia akaona huyu demu ataniachia bill...ndo mazimaaaaaaa!!!
Ulijua kumuweza. Akaamua kuchikichia. 😂😂😂😂😂😂Mie nilimfanyie vile makusudi maana alisema yeye kuteketeza milioni 6 kwa mwanamke haimshindi.
Yaani nikabaki nacheka tu.
Na nilivyoenda Arusha nikampigia simu aje pale Silver nilipofikia akaona huyu demu ataniachia bill...ndo mazimaaaaaaa!!!
Ndo huyo kwenye avatar yako??Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.
Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
Kwanini sasa uwe muongooo?
Kwani ukisema unamiliki bajaji Madame atakukataa?
Mbona mie babe wangu anamiliki TZF 11 na nainjoi nae tu!
Hilo ni sawa kabisaa. Japo hizo kamba wazipunguze sasa.Basi kuepusha mambo Kama mtu unaweka matarajio makubwa kwenye hapana, haya kila mtu atafute za kwake jamani [emoji23][emoji23][emoji23]