Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Ndio..wakati anamiliki kampuni yenye magari ya tours zaidi ya 6.
Nikashangaa sana.
Hahahahh....humu kila mtu ana mbabe wake jamani.
Khaaa!!!
Usawa huu Word ni wachache wanazo za kuchezea.
Basi kuepusha mambo Kama mtu unaweka matarajio makubwa kwenye hapana, haya kila mtu atafute za kwake jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi kuepusha mambo Kama mtu unaweka matarajio makubwa kwenye hapana, haya kila mtu atafute za kwake jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini sasa uwe muongooo?
Kwani ukisema unamiliki bajaji Madame atakukataa?
Mbona mie babe wangu anamiliki TZF 11 na nainjoi nae tu!
 
Mie nilimfanyie vile makusudi maana alisema yeye kuteketeza milioni 6 kwa mwanamke haimshindi.

Yaani nikabaki nacheka tu.
Na nilivyoenda Arusha nikampigia simu aje pale Silver nilipofikia akaona huyu demu ataniachia bill...ndo mazimaaaaaaa!!!
Wanaoteketeza hawaongei kabisa..
 
Hafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno
 
Mie nilimfanyie vile makusudi maana alisema yeye kuteketeza milioni 6 kwa mwanamke haimshindi.

Yaani nikabaki nacheka tu.
Na nilivyoenda Arusha nikampigia simu aje pale Silver nilipofikia akaona huyu demu ataniachia bill...ndo mazimaaaaaaa!!!
Ulijua kumuweza. Akaamua kuchikichia. 😂😂😂😂😂😂
 
Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.

Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
Ndo huyo kwenye avatar yako??
 
Back
Top Bottom