Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hahaha nanyie muwe real ... Tusisumbuane saaana
Sawa najua umekuja kuwatetea sababu wewe sio muongo kwani wale waongo hutawaona hapa. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ. Tulio wengi siku zote tuko real na sababu kuu ni kujua kwamba kuna leo na kesho kwani waeza jikweza hapa mwisho wa siku ikabaki aibu tu kama hao waliotajwa na mleta uzi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaaaaa inasikitisha sana wengine waja kuchunguza watu wapate umbeya labda flani yukoje basi. Yani unakuta I'd mpya zatongoza tu kah had huwa naona jf maana yake yapotea sasa. Mimi Kuna mtu hunijia na I'd tofauti tofauti, hafu Ana force huyo. Mleta mada bora yeye kajionea
 
Mimi ndo Kuwa na I'd nyingi siwezi for which purpose loh
Hahajah
Ndo ile ya fulani alijisahau akaleta screenshot ya mtongozo jukwaani.
Alijua yuko Pm afu kwa I'd mpya.
Hahahhah.....dah vimeo viko vingi sana humu.
Afu mtu ambae unachat nae kila siku, hata akija Pm na kubadili I'd uandishi wake utaujua tu
 
Hapa watajitetea waonekane hawana makosa.
Ila wanaume wanaumiza sana.
Mdada wa watu unajua unaenda kukutana na mkaka anaendesha lexus...unaishia kupandishwa bodaboda.
So sad!!
Nimeona sehemu mleta uzi anasema unakaa kwenye boda boda hadi makalio yanauma. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila muda mwingine unaweza ukawa unadhani hii ID ya mtu fulani (Daby) kwa hisia fulani kumbe wala sio yeye.[sikatai hisi zako]

Muwe makini mnapo guess Id.
 
[emoji40][emoji40][emoji40] watajuana wenyewe..
 
[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekupata vema sasa... Nimeibadili na V8 2018 edition
Kuna Jamaa humu ana gari Kali huyo mama yangu mzazi sijawai ona. Anaipenda gari yake kuliko chochote.ila ni kauzu balaa.
Ila kwa kifupi humu kuna watu wana mpunga sio kitoto sema wanapenda tu papuchi.
 
Kausha basii unatuumbua sisi misifa's camp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…