Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Naomba comments ziwe fupifupi tafadhali
tapatalk_1533734809625.jpeg
 
Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.

Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alitaka akuajiri nini
 
Nafanya fanyaje na mimi nikutane na mwanadada wa JF in really life?

Wakuu naombeni hints na mimi niyashuhudie mnayoyaona huko!
 
Back
Top Bottom