Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
๐๐๐๐๐Utajua mwenyewe bwana.. Sisi ambao tuna comment hatunaga lolote mnazipitaga comment zetu kwa kuchechemea msiziguse..
Oya masela wadananda endeleeni ivo ivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Utajua mwenyewe bwana.. Sisi ambao tuna comment hatunaga lolote mnazipitaga comment zetu kwa kuchechemea msiziguse..
Oya masela wadananda endeleeni ivo ivo
Au unaonaje et[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhahahah.....huenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alitaka akuajiri nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaniuaa madamHahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Mpwa nyie wanaume hamfai kabisa.Lakini mpwa....!!!
Mi naona wasiendelee wawe wakweli tu sababu kama hii ya leo naiona aibu kwao.Au unaonaje et
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahahh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaniuaa madam
Ngoja mung aone hapa utamkoma
Hujasikia kwani Bureau de change za Arusha zimefungwaga. ๐๐๐Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Wakweli hawapewi nafasi sasa.. Lazima tucheze kulingana na mdundoMi naona wasiendelee wawe wakweli tu sababu kama hii ya leo naiona aibu kwao.
Hiyo ilikuwa August shoga.Hujasikia kwani Bureau de change za Arusha zimefungwaga. ๐๐๐
Mil 1.9 tuuu yani tuseme 2MilHahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Nina sifa moja tu hapa.
Ahsante kwa kuitaja
Wapo wachache sanaa ni kubahatishaHahahahh
Yeye hata asipoona ana dada ake manengelo atapaona.
Humu jf shoga angu, hakuna watu humu.
Iliyobaki tuchorane kila mtu akafie kwao
Hao Hawajataka wakweli wenzao ndio sababu.Wakweli hawapewi nafasi sasa.. Lazima tucheze kulingana na mdundo
Nimecheka! Anajua kuwa na madolar mchezo. ๐๐๐๐Hiyo ilikuwa August shoga.
Mwezi wa 8...foleni mpaka December hii....hahahhaha