Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Anakusikia na yupo hapa jukwaani ana chat uzi huu huuAibu nimeona Mimi 🙈🙈
Mpe hi sinajambo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakusikia na yupo hapa jukwaani ana chat uzi huu huuAibu nimeona Mimi 🙈🙈
Mpe hi sinajambo...
Bora tushangae tu kwa kweliHahaaaaaaaa ...........
Shikamooo......Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Ningependa kuona macho. Next time tuyaoneOooh!! [emoji85][emoji85][emoji85] thank u [emoji8][emoji8][emoji8]
Marahaba mwali wangu.Shikamooo......
Ningependa kuona macho. Next time tuyaone
OkayTafuta thread ya 3/12/2018 utaona photo
HahajajaMganga ana Prado huyo. Anapiga ramli Skype.anarogea you tube
Tafuta maisha mzee,huyo utakayemuoa atakula/vaa nini ikiwa huna kitu
Uje mpaka ile bar kule K.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na lazima tupige picha ya pamoja
Ukiona manyoya ujuwe ashaliwaSisi wanawake wa humu Jf, tunajua fika kwamba wanaume wa humu....
Wote wana pesa,
Wote wana magari,
Wote wana elimu kuanzia degree,
Wote wamejenga,
Wote wanajua kuvaa,
Wote wazuri....
Ila sasa mie nashindwa kuelewa, kwanini ukikutana na baadhi yao wengi hawako kama wanavyojishaua humu Jf?
1. Anasema ana pesa, ila ukikutana nae ni unga unga mwana mpaka utashangaa ila akiwa jukwani sasa Mengi atasubiri.
Mjue mnajishushia CV
2. Mada za kuchangia zinazohusu magari, naye yumo tena atataja mpaka aina ya gari analomiliki, ila nje ya keyboard ukikutana nae atakutembeza na bodaboda mpaka makalio yaote sugu...alivyo ni tofauti na mmiliki wa hata baiskeli ya guta.
Mjue mnajishushia CV.
3. Kwenye jukwaa la elimu kila mada inayohusu wenye elimu za juu utamkuta akichangia huku akijitapa yeye ni msomi wa degree au masters ila nje ya keyboard sasa, anamiliki certificate of uzushi na uwongo from Kamgambile college.
Mjue mnajishushia CV.
4. Kuna mdau humu nilikuwa napenda sana post zake kuhusu assets anazomiliki yakiwemo makampuni 2 na nyumba 1 pamoja na kijiusafiri.
Siku nakutana nae sikuamini kama ndio yeye, jamaa anaishi chumba ambacho mie kwetu naweza kufugia sungura wawili tu.
Yule jamaa mpaka leo kani-ignore sijui nilimkosea wapi.
Mjue mnajishushia CV.
5. Kuna mmoja nilienda kukutana nae La Chaaz Sinza.
Jamaa nilikutana nae jukwaa la Mitindo na utanashati akijitanaibu kuwa yeye ndie mwanaume smart Jf nzima.
Siku naonana nae sikuamini macho yangu.
Kwanza juu kapiga singlend ya kukata mikono, ana kigimbi sio cha nchi hii.
Nywele za kwapa zimekuwa za brown, jasho sasa kama tuko ndani ya mgodi.
Chini kavaa kipensi cha jeans kimekaa kama kipedo, mguuni ana zile ndala nyeupe zinazouzwa Kariakoo.
Nilivyofika pale nikafungua jukwaa la mitindo nikawa nasoma comment zake huku namuangalia kiupande ili ni-compare nae.
Wanaume acheni kujikweza.
Mjue mnajishushia CV.
6. Kwenye uzuri ndo sisemi.
Aliyekwambia kuvaa miwani ndio uzuri nani?
Sema sura yako ilivyo ili nijue nadili na mtu wa aina gani nilikutana nawe.
Mtu anajisifu handsome wakati anasura ya kumtishia mtoto wakati wa kula na wakati wa kulala.
Mjue mnajishushia CV.
Mbona huku Jf kuna wanaume wako real tu jamani!!!
Humu Jf kuna wanaume ambao akisemacho humu ndicho hikohuko utakutana nacho ukionana nae.
Mie nilijua waongo ni sisi tu, kumbe hata wanaume hamvumi ila mpo.
Utakuta mwanaume anahangaika kujikwenza kwa mwanamke kwa kujisifia jukwaani, ila ukienda nae Pm, utapasuka kwa kicheko.
Sisi wanawake tunafanya hivi kwa ajili ya kuwanasa wanaume, hasa kwa mwanaume unafanya ili iweje?
Wanaume punguzeni mbwembwe.
Msuli haufungwi kwa mkanda.
Kuweni real bhana samtaim bahati mnazipeperusha wenyewe.
Unahangaika nami Pm mwezi mzima, siku ya kuja kuonana nawe najikuta najutia bando langu wakati nachat nawe kipindi chote hiko.
Kuweni serious bhana wanaume wa humu.
Mbona kuna wengine tunapenda wanaume wasio na mvuto?
Tunawapenda wasio na magari wala nyumba wala makampuni wala wenye hizo six pack?
Mtajificha nyuma ya keyboard mpaka lini?
Ndo yaleyale, mnakutana kwenye meetings badala ya kujadili kilichowaleta, mnaanza kumjadili Juma na post zake za kujisifia wakati yuko hapo mbele yenu na hamuamini kama ndo yeye.
Nawaambia wanaume wa JF, MNAJISHUSHIA CV.
Wanaume real wapo...asa nyie endeleeni kufake huku Jukwaani afu tukiyaleta maisha yenu halisi jukwaani muanze kusema wanawake mwalimu wetu kipofu.
Povu ruksa.
Madongo rusha kwa akili maana tutaleta screenshot afu tuanze kutafuta mchawi hapa.
Miezi sina mbabe mbona..Ndio..wakati anamiliki kampuni yenye magari ya tours zaidi ya 6.
Nikashangaa sana.
Hahahahh....humu kila mtu ana mbabe wake jamani.
Khaaa!!!
Afu unajua mwanaume kuwa mmbea ni kipaji kigumu sana.Hahaaaaa inasikitisha sana wengine waja kuchunguza watu wapate umbeya labda flani yukoje basi. Yani unakuta I'd mpya zatongoza tu kah had huwa naona jf maana yake yapotea sasa. Mimi Kuna mtu hunijia na I'd tofauti tofauti, hafu Ana force huyo. Mleta mada bora yeye kajionea
HahahhahMiezi sina mbabe mbona..
Namsubiri mkuu😂😂😂😂
Ngoja aje