Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno
Kutana na Mimi tubadilishane mawazo
cariha
 
Hahaaaaa hao wanaume kiboko walah umbeya uko damuni aisee hivi wanalipwa au basi, na kweli wambeya ndo hujifanya wema na watakatifu. Ukijiloga umvulie chupi wafwa aisee
Awalipe nani?
Ipo kama mishoga tu...tena kuna mmoja namdharau sana.
Anajifanya kila mtu humu anamjua, mwisho wa siku akaja kuumbuliwa kweupeeee.
Wanaume wa Jf waache kufake life....
Na ukisema umvulie chupi, basi ndio kiama
 
Hahaaaaa huyo anayejua kila mtu kiboko Ana tatizo, sasa yeye amekuja humu forum kufatilia ya watu au mambo yake. Huyo aliyeumbuliwa na hamu nimjue. Wanaume wambeya inabidi sie wanawake tuwakatie visimi vyetu waviweke mbele. Maana wamezidi
Awalipe nani?
Ipo kama mishoga tu...tena kuna mmoja namdharau sana.
Anajifanya kila mtu humu anamjua, mwisho wa siku akaja kuumbuliwa kweupeeee.
Wanaume wa Jf waache kufake life....
Na ukisema umvulie chupi, basi ndio kiama
 
nkajua screenshots zishaanza kurushwa kumbe badontarudi baadaye,naona kuni hazijapata wa kuzichochea vizuri
 
Back
Top Bottom