Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasisi wadada tukitaka kukuona,,nasisi tunalipa nauli??
Dada sheria msumeno lazim ikate kote kote na Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe lingine asilani
 
Naimagine hapa huyo mwanaume angeingia kwenye 18zako angekunguta hadi chupi[emoji23][emoji23]
 
Zimefika salamuu
Jaman enzi zile watoto wa Hombolo LGTI ndo walifaidi lakini tangu msimu huu uingiee hamna mambo si mlaumu huyo kaka..kwenda mjini ilikua ni kama unaenda chooni kupanda shabiby na super baraka ni kama kuvaa kandambili.
 
Hujui tu, huyu ni kubwa la madanga anajiuza mbona kwa waliobahatika kulala nae wanasema wa kawaida sana tofouti na vile anavyojikweza humu ndani...
 
Tunavyowapa hela za saloon mnafkri hazituumagi eeh? sasa ndio mjue jinsi tunavyojiskia Tukiwahudumia alafu mkija geto mnasema mpo PERIOD yani tunatamanigi tuwameze kama BIG G
 
Hujui tu, huyu ni kubwa la madanga anajiuza mbona kwa waliobahatika kulala nae wanasema wa kawaida sana tofouti na vile anavyojikweza humu ndani...
Kuna jamaa mmoja alinifuata pm Jana baada ya kuandika reply yangu kwenye huu Uzi kuhusu dada uliyoquote anasema walionana na huyu dada alipoenda dodoma mapumziko, ilikuwa wagegedane baada ya kufika anasema demu alikuwa kawaida sana mnene kiasi, shepu haiweleki na mweupe kiasi na hakumvutia kabisa,ikabidi aagize savvanah then akamuaga anaondoka kuendelea na ratiba..anasema hakumvutia kabisa, akanitumia picha zake na namba zake za simu anazotumia na akanipa majina yake anayotumia kwenye mitandao ya kijamii, fb na inst......nakubaliana na unachosema.
Kama ataridhia niziweke hapa hadaharani

Mm tangu Jana nilipoona hii thread nilijua tu huyu atakuwa danga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…