Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Kwa hiyo ww Demiss ni maharage ya kule kwa Sugu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh!! Ngoja nikalime korosho mwaka 2030 nitakutafuta tule huo mzigo😂😂Sitoi biriani
embu lala usije ukaotaAisee 🤔
Naona jinsi unavyo......embu lala usije ukaota
Ihumwa ww utakuwa chakula cha makamanda hukoBora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.
Kwanini nimesema mwanaume yeyote anaye hitaji kuonana na mimi lazima atume nauli.
MKASA
Kuna mkaka mmoja wa Jf ana I'd yake inaanzia kama ya kike alinifata pm anahitaji kuonana na mimi.
Mimi wala sikuwa na shobo naye akaniganda kama rubaa nakwambia ooh mara natoka Canada nitashuka kenyata airport mara sjui wapi nakuja Dodoma kikazi lazima nikuone Demiss.
Mimi kusikia hivyo nikaona huyu mtu wa maana bwanaa weee kumbe hamsini zangu zimefika chiii
Huyu mkaka baada ya kufika Dom tukawasiliana akasema niende town alafu si mnajua mm naishi huku Hombolo jamani.
Eeeh nikachukua bodaboda mpaka mjini gharama elf 20 nikalipa.
Kichwani nilivaa wigi limeshachambuka na upepo limekuwa kama vuzi la Escober.
Nikapitia saloon kwa Jesca mcharuko akanipaka make up mimi akanichana na wigi kwa sh elf 5. Jumla nimetumia elf 25 mpaka hapo.
Nikakaa hapo saloon nasubiria kuonana na Mwanajf asije akanikimbia nimeshajipodoa na kuupara mtoto nanukia marashi weee balaaa.
Wewe si akaingiza sababu kibaoo jaman nilikereka hapo alisema atarudisha nauli yangu ikabidi niende kulala kwenye geto la Jesca Maili mbili.
Kesho nikaamka nikaenda nane nane nikapanda Super baraka mpaka hombolo nikiwa na mawazo debee.
Jaman nilipata hasara yani hela yangu bado inaniuma mpaka leo.
Alafu huyo member alisema atanirudishia lakini wapi mpaka leo sijaona muamala ukisoma kiufupi hela yangu inaniuma yani ningenunua mchele si ningepata hata kilo kumi.
Kuanzia leo naomba mjue mimi naishi HOMBOLO village.
Mchanganuo wa nauli
Hombolo-Town Elfu 40,000 kwenda na kurudi.
Saloon - Elf10,000
Kama huna nauli basi uwe na gari ya kunifata nilipo sitaki usumbufu.
Onyo:
Sijalazimisha kuonana na mtu ila mkae mkijua habari ndo hiyooo.
Alafu mm sina kifua ukinifanyia kitu lazima niseme saivi kiufupi siwezi kuweka mambo rohoni nisije kufa na pressure.
Location: Ihumwa Machimboni.
Kumbe hii ndo sababu ya wewe Jana nichomesha mahindi pale garden si ndioNaona jinsi unavyo......
embu lala usije ukaota
Naona jinsi unavyo......
Mlale salama!Kumbe hii ndo sababu ya wewe Jana nichomesha mahindi pale garden si ndio
Sawa mjanja wewe unajaribu kugeuza kesi kwangu.Kumbe hii ndo sababu ya wewe Jana nichomesha mahindi pale garden si ndio
Kwa huyu sikuachii mama labla yule 😀😀😀😀Mlale salama!
mama,Mlale salama!
Hahaha hahahaKwa huyu sikuachii mama labla yule [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hahaha Leo ndo nimejua sababu uwezi aminiSawa mjanja wewe unajaribu kugeuza kesi kwangu.
Umeniita mimi mkuu, au ni @HawachiKwa huyu sikuachii mama labla yule [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mama,
Hapo unajiteteaje eti...hahaha Leo ndo nimejua sababu uwezi amini
Afadhali ulivyo niachia maana 😜😜Hahaha hahaha
Yule mzinguaji tuu, ila hata huyu baki nae!
Mie meamua kuwa singo!
ng'ombe wako yupo pale pale mamaUmeniita mimi mkuu, au ni @Hawachi
Eti mpendwa una wangapi?hahaha Leo ndo nimejua sababu uwezi amini
@Sanchez magoli case closed!Afadhali ulivyo niachia maana [emoji12][emoji12]