Naomba mrejesho na ikiwezekana nogesha na pichaHahahaha kwahiyo sina kiharageeee
Jaman umenifanya niende chooni kujichungulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba mrejesho na ikiwezekana nogesha na pichaHahahaha kwahiyo sina kiharageeee
Jaman umenifanya niende chooni kujichungulia
Pole yako......Bora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.
Kwanini nimesema mwanaume yeyote anaye hitaji kuonana na mimi lazima atume nauli.
MKASA
Kuna mkaka mmoja wa Jf ana I'd yake inaanzia kama ya kike alinifata pm anahitaji kuonana na mimi.
Mimi wala sikuwa na shobo naye akaniganda kama rubaa nakwambia ooh mara natoka Canada nitashuka kenyata airport mara sjui wapi nakuja Dodoma kikazi lazima nikuone Demiss.
Mimi kusikia hivyo nikaona huyu mtu wa maana bwanaa weee kumbe hamsini zangu zimefika chiii
Huyu mkaka baada ya kufika Dom tukawasiliana akasema niende town alafu si mnajua mm naishi huku Hombolo jamani.
Eeeh nikachukua bodaboda mpaka mjini gharama elf 20 nikalipa.
Kichwani nilivaa wigi limeshachambuka na upepo limekuwa kama vuzi la Escober.
Nikapitia saloon kwa Jesca mcharuko akanipaka make up mimi akanichana na wigi kwa sh elf 5. Jumla nimetumia elf 25 mpaka hapo.
Nikakaa hapo saloon nasubiria kuonana na Mwanajf asije akanikimbia nimeshajipodoa na kuupara mtoto nanukia marashi weee balaaa.
Wewe si akaingiza sababu kibaoo jaman nilikereka hapo alisema atarudisha nauli yangu ikabidi niende kulala kwenye geto la Jesca Maili mbili.
Kesho nikaamka nikaenda nane nane nikapanda Super baraka mpaka hombolo nikiwa na mawazo debee.
Jaman nilipata hasara yani hela yangu bado inaniuma mpaka leo.
Alafu huyo member alisema atanirudishia lakini wapi mpaka leo sijaona muamala ukisoma kiufupi hela yangu inaniuma yani ningenunua mchele si ningepata hata kilo kumi.
Kuanzia leo naomba mjue mimi naishi HOMBOLO village.
Mchanganuo wa nauli
Hombolo-Town Elfu 40,000 kwenda na kurudi.
Saloon - Elf10,000
Kama huna nauli basi uwe na gari ya kunifata nilipo sitaki usumbufu.
Onyo:
Sijalazimisha kuonana na mtu ila mkae mkijua habari ndo hiyooo.
Alafu mm sina kifua ukinifanyia kitu lazima niseme saivi kiufupi siwezi kuweka mambo rohoni nisije kufa na pressure.
Location: Ihumwa Machimboni.
Na ushukuru, bili ya chakula na vinywaji pia ingekuhusu mwenzako angejifanya kama anaongea na simu huyo angekuacha mataa ya ubungo wa shangaa peke akoAhahahaha mwenzangu nilivyotumiwa picha yupo kwenye ndege mara mavideo call nikajua nimepata dangaaa
bax naomba uwe Baloz WA kwanza kuwa eleza wenzio hayaInaumaaa sana yani acha kabisa
Aaah wapi. kuna siku niliona unamdai hela yako.Hahahahhaha na wewe amekuingiza mjini hahhaha pole aiseee
Na hapo bado ilikuwa ukopwe papuchi, sijui ndo ungekufa..!!!!Roho inauma sana hela yangu
Pole wewe ungemwambia kuwa atume nauli kabisa,but Mimi nikija nitkufuata na Gari yangu.Bora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.
Kwanini nimesema mwanaume yeyote anaye hitaji kuonana na mimi lazima atume nauli.
MKASA
Kuna mkaka mmoja wa Jf ana I'd yake inaanzia kama ya kike alinifata pm anahitaji kuonana na mimi.
Mimi wala sikuwa na shobo naye akaniganda kama rubaa nakwambia ooh mara natoka Canada nitashuka kenyata airport mara sjui wapi nakuja Dodoma kikazi lazima nikuone Demiss.
Mimi kusikia hivyo nikaona huyu mtu wa maana bwanaa weee kumbe hamsini zangu zimefika chiii
Huyu mkaka baada ya kufika Dom tukawasiliana akasema niende town alafu si mnajua mm naishi huku Hombolo jamani.
Eeeh nikachukua bodaboda mpaka mjini gharama elf 20 nikalipa.
Kichwani nilivaa wigi limeshachambuka na upepo limekuwa kama vuzi la Escober.
Nikapitia saloon kwa Jesca mcharuko akanipaka make up mimi akanichana na wigi kwa sh elf 5. Jumla nimetumia elf 25 mpaka hapo.
Nikakaa hapo saloon nasubiria kuonana na Mwanajf asije akanikimbia nimeshajipodoa na kuupara mtoto nanukia marashi weee balaaa.
Wewe si akaingiza sababu kibaoo jaman nilikereka hapo alisema atarudisha nauli yangu ikabidi niende kulala kwenye geto la Jesca Maili mbili.
Kesho nikaamka nikaenda nane nane nikapanda Super baraka mpaka hombolo nikiwa na mawazo debee.
Jaman nilipata hasara yani hela yangu bado inaniuma mpaka leo.
Alafu huyo member alisema atanirudishia lakini wapi mpaka leo sijaona muamala ukisoma kiufupi hela yangu inaniuma yani ningenunua mchele si ningepata hata kilo kumi.
Kuanzia leo naomba mjue mimi naishi HOMBOLO village.
Mchanganuo wa nauli
Hombolo-Town Elfu 40,000 kwenda na kurudi.
Saloon - Elf10,000
Kama huna nauli basi uwe na gari ya kunifata nilipo sitaki usumbufu.
Onyo:
Sijalazimisha kuonana na mtu ila mkae mkijua habari ndo hiyooo.
Alafu mm sina kifua ukinifanyia kitu lazima niseme saivi kiufupi siwezi kuweka mambo rohoni nisije kufa na pressure.
Location: Ihumwa Machimboni.
Mama La mama kwn unateseka njoo pm tuyajenge mama..Bora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji81] [emoji81]Duh... Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
[emoji81] [emoji81] [emoji81]Duuh..Jamaa kabadili gia angani
Inategemea ukoje wanaume wa jf siunawaelewa kama unachura watatumia zao[emoji81] [emoji81] [emoji81][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasisi wadada tukitaka kukuona,,nasisi tunalipa nauli??
Lkn nyie wanawake msipende vya mteremko Sana.Yani acha tu hela inauma sana nilijua naenda kupata faida kumbe nimekula hasara looh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wape WapeBora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.
Kwanini nimesema mwanaume yeyote anaye hitaji kuonana na mimi lazima atume nauli.
MKASA
Kuna mkaka mmoja wa Jf ana I'd yake inaanzia kama ya kike alinifata pm anahitaji kuonana na mimi.
Mimi wala sikuwa na shobo naye akaniganda kama rubaa nakwambia ooh mara natoka Canada nitashuka kenyata airport mara sjui wapi nakuja Dodoma kikazi lazima nikuone Demiss.
Mimi kusikia hivyo nikaona huyu mtu wa maana bwanaa weee kumbe hamsini zangu zimefika chiii
Huyu mkaka baada ya kufika Dom tukawasiliana akasema niende town alafu si mnajua mm naishi huku Hombolo jamani.
Eeeh nikachukua bodaboda mpaka mjini gharama elf 20 nikalipa.
Kichwani nilivaa wigi limeshachambuka na upepo limekuwa kama vuzi la Escober.
Nikapitia saloon kwa Jesca mcharuko akanipaka make up mimi akanichana na wigi kwa sh elf 5. Jumla nimetumia elf 25 mpaka hapo.
Nikakaa hapo saloon nasubiria kuonana na Mwanajf asije akanikimbia nimeshajipodoa na kuupara mtoto nanukia marashi weee balaaa.
Wewe si akaingiza sababu kibaoo jaman nilikereka hapo alisema atarudisha nauli yangu ikabidi niende kulala kwenye geto la Jesca Maili mbili.
Kesho nikaamka nikaenda nane nane nikapanda Super baraka mpaka hombolo nikiwa na mawazo debee.
Jaman nilipata hasara yani hela yangu bado inaniuma mpaka leo.
Alafu huyo member alisema atanirudishia lakini wapi mpaka leo sijaona muamala ukisoma kiufupi hela yangu inaniuma yani ningenunua mchele si ningepata hata kilo kumi.
Kuanzia leo naomba mjue mimi naishi HOMBOLO village.
Mchanganuo wa nauli
Hombolo-Town Elfu 40,000 kwenda na kurudi.
Saloon - Elf10,000
Kama huna nauli basi uwe na gari ya kunifata nilipo sitaki usumbufu.
Onyo:
Sijalazimisha kuonana na mtu ila mkae mkijua habari ndo hiyooo.
Alafu mm sina kifua ukinifanyia kitu lazima niseme saivi kiufupi siwezi kuweka mambo rohoni nisije kufa na pressure.
Location: Ihumwa Machimboni.
Bora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.