Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Ng'ombe wangu nampokea kwa mikono miwili! .ng'ombe wako yupo pale pale mama
Nimeumia sana mimi jamaniii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ng'ombe wangu nampokea kwa mikono miwili! .ng'ombe wako yupo pale pale mama
Mama utani huu si kweli 😀😀😀Ng'ombe wangu nampokea kwa mikono miwili! .
Nimeumia sana mimi jamaniii
Atakuwa kabaki na wewe tuu...Eti mpendwa una wangapi?
Bora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.
Kwanini nimesema mwanaume yeyote anaye hitaji kuonana na mimi lazima atume nauli.
MKASA
Kuna mkaka mmoja wa Jf ana I'd yake inaanzia kama ya kike alinifata pm anahitaji kuonana na mimi.
Mimi wala sikuwa na shobo naye akaniganda kama rubaa nakwambia ooh mara natoka Canada nitashuka kenyata airport mara sjui wapi nakuja Dodoma kikazi lazima nikuone Demiss.
Mimi kusikia hivyo nikaona huyu mtu wa maana bwanaa weee kumbe hamsini zangu zimefika chiii
Huyu mkaka baada ya kufika Dom tukawasiliana akasema niende town alafu si mnajua mm naishi huku Hombolo jamani.
Eeeh nikachukua bodaboda mpaka mjini gharama elf 20 nikalipa.
Kichwani nilivaa wigi limeshachambuka na upepo limekuwa kama vuzi la Escober.
Nikapitia saloon kwa Jesca mcharuko akanipaka make up mimi akanichana na wigi kwa sh elf 5. Jumla nimetumia elf 25 mpaka hapo.
Nikakaa hapo saloon nasubiria kuonana na Mwanajf asije akanikimbia nimeshajipodoa na kuupara mtoto nanukia marashi weee balaaa.
Wewe si akaingiza sababu kibaoo jaman nilikereka hapo alisema atarudisha nauli yangu ikabidi niende kulala kwenye geto la Jesca Maili mbili.
Kesho nikaamka nikaenda nane nane nikapanda Super baraka mpaka hombolo nikiwa na mawazo debee.
Jaman nilipata hasara yani hela yangu bado inaniuma mpaka leo.
Alafu huyo member alisema atanirudishia lakini wapi mpaka leo sijaona muamala ukisoma kiufupi hela yangu inaniuma yani ningenunua mchele si ningepata hata kilo kumi.
Kuanzia leo naomba mjue mimi naishi HOMBOLO village.
Mchanganuo wa nauli
Hombolo-Town Elfu 40,000 kwenda na kurudi.
Saloon - Elf10,000
Kama huna nauli basi uwe na gari ya kunifata nilipo sitaki usumbufu.
Onyo:
Sijalazimisha kuonana na mtu ila mkae mkijua habari ndo hiyooo.
Alafu mm sina kifua ukinifanyia kitu lazima niseme saivi kiufupi siwezi kuweka mambo rohoni nisije kufa na pressure.
Location: Ihumwa Machimboni.
Una wivu mama yaani hapa nacheka 😀😀😀😀Atakuwa kabaki na wewe tuu...
Mimi anipe ng'ombe wangu tuu yeye simtaki tena!
Hahaha hahaha hahaha hahahaMama utani huu si kweli [emoji3][emoji3][emoji3]
hajjat punguza wivu jiamini uko peke ako;;Eti mpendwa una wangapi?
Hahaha hahaha hahahaUna wivu mama yaani hapa nacheka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utaki Leo nipate usingizi mamaAtakuwa kabaki na wewe tuu...
Mimi anipe ng'ombe wangu tuu yeye simtaki tena!
Aiseeehajjat punguza wivu jiamini uko peke ako;;
Hivi kwa nini best huwa tunagongana kwa vidume yule siku ile umenichimba mkwara hadi niliogopa 😀😀😀😀Hahaha hahaha hahaha
Mungu wangu ananionyesha maono... Nilikuwa naenda kulala ujue..
Mie leo nakuachia
wewe unapenda nionea Mimi sana ujueHahaha hahaha hahaha
Mungu wangu ananionyesha maono... Nilikuwa naenda kulala ujue..
Mie leo nakuachia
Unafikiri mimi nitalala kwa nilichokiona eti...Utaki Leo nipate usingizi mama
Maisha yangu nayajua mwenyewe na sijawahi kuwa msiri nipokushare nanyi mjifunzee mengiRelax, Tulia Demiss, Nataka Nikununulie BMW X6, Umepitia mengi mama kuiba sabuni za guest, nakupita na DSTV mgongoni kwa kujifunika na shuka la kimasai pale guest bhado kuzulumiwa laki nane na shombe la kisomali sijui hapo dodoma.
Mimi nataka nirejeshe furaha yako.
Leo ndio nakujua vizuri,sijui utazungumza lugha gani nikuelewehajjat punguza wivu jiamini uko peke ako;;
Hahaha hahaha hahahaHivi kwa nini best huwa tunagongana kwa vidume yule siku ile umenichimba mkwara hadi niliogopa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
aki talaka aitoki SakayoUnafikiri mimi nitalala kwa nilichokiona eti...
Ushamwambia yuko peke yake, naomba ng'ombe wangu tuu tuachane!
Hilo jina alokuita ni lako kweeliiiLeo ndio nakujua vizuri,sijui utazungumza lugha gani nikuelewe
Kwa ushahidi huu bado waonewa jamaniiwewe unapenda nionea Mimi sana ujue
hata Aisha akumuona wivu hivo bi khadija ujueLeo ndio nakujua vizuri,sijui utazungumza lugha gani nikuelewe