Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Mwanamke akikupenda Na
Akajua pia ww unampenda
Wala Hana shda Na nauli yako
 
Pole sana naona unavyohangaika na makalashaa
Roho imeniuma , sidanganyi ningekuwa na mawe ningeshusha muamala saivi sema nipo machimboni huku. Sala zako madini yapatikane. Nadhani unaelewa wachimbaji tukipata hela inakuwaje.
IMG-20190421-WA0046.jpeg
 
Back
Top Bottom