Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahaha hahahaWhy ampotezee mda na pesa mwenzie ila Demiss naye kazidi kwa ukame [emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe umeanza zamani sana kuchepuka mama naumia Mimi aki tena, we ndo source ujueTatizo huwa huniamini kakangu..
Wifi yangu Hawachi anakupenda sana
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Ehhehe nishakula kichambo tayar hapa napumulia mashine kaniita majina yote kuwa mm mdangaji mshamba wa ovyoo nina njaa hahahhaha
Wakat hapa nipo Nashera hotel nimelala miguu juuuKweli mm nina njaaa kinachoniuma ni pesa kuharibika kwenye bajeti.View attachment 1078678
Hahaha hahaha hahahaHahahahhahaah uwiiii nimecheka sana
Naomba usinisingizie mimi jamaniii baba, leo mara ya nne nakunasaKumbe umeanza zamani sana kuchepuka mama naumia Mimi aki tena, we ndo source ujue
Tuma nile nauli yakooo
Sakayo alikukuta wapi hajjat, mi nataka jibu pleaseNaona unataka kugeuza kesi kwa mara nyingine hili kosa lako kutugombanisha na Sakayo ili lipotee.
Hahaha hahaha hahaha hahahaNaona unataka kugeuza kesi kwa mara nyingine hili kosa lako kutugombanisha na Sakayo ili lipotee.
Unanitoa kwenye reli ujueee
Hahaha hahaha hahaha
Ilikuwa maamuzi yako mdogo wanguu, ulikuwa na uwezo wa kumuita akuje huko madongo kuinuka ujue
Aki unanisingizia Mimi ujueNaomba usinisingizie mimi jamaniii baba, leo mara ya nne nakunasa
Sakayo alikukuta wapi hajjat, mi nataka jibu please
Kesho naamkia shamba jamani...Naona unataka kugeuza kesi kwa mara nyingine hili kosa lako kutugombanisha na Sakayo ili lipotee.
Mungu wangu Demiss una kula sana wew mwanamke hivyo vyakula vyote peke yako. Huyo mwanaume angekua na pesa angetoa nae mdangaji tuEhhehe nishakula kichambo tayar hapa napumulia mashine kaniita majina yote kuwa mm mdangaji mshamba wa ovyoo nina njaa hahahhaha
Wakat hapa nipo Nashera hotel nimelala miguu juuuKweli mm nina njaaa kinachoniuma ni pesa kuharibika kwenye bajeti.View attachment 1078678
Hahaha hahaha hahahaAje kunipost huku aseme D naishi madongo kuserebukaa agaaaa sitaki miyeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukutane mahotelini hukoo hukoo
Nawe pia mpendwaKesho naamkia shamba jamani...
Mlale unono!
Why ampotezee mda na pesa mwenzie ila Demiss naye kazidi kwa ukame [emoji3][emoji3][emoji3]