Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Aki ni kweeli kabisaaa...Aki unanisingizia Mimi ujue
Nalala sasa babaa, usiku mwema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aki ni kweeli kabisaaa...Aki unanisingizia Mimi ujue
Kesho mama!!!Kesho naamkia shamba jamani...
Mlale unono!
Hahaha hahaha hahaha
Walikubaliana bwana, hata mkaka naye alipoteza muda pia!
Hivi kweli ukiitwa kama huna ratiba hiyo si unasema tuu!
Vizuri gharama kweli.Ehhehe nishakula kichambo tayar hapa napumulia mashine kaniita majina yote kuwa mm mdangaji mshamba wa ovyoo nina njaa hahahhaha
Wakat hapa nipo Nashera hotel nimelala miguu juuuKweli mm nina njaaa kinachoniuma ni pesa kuharibika kwenye bajeti.View attachment 1078678
Sijawahi kukuona ila nahisi utakuwa mnene, yaani hayo mavyakula siyapendi kitambi lazima hapoYani nimekula peke yangu nilivyo mroho hahaahhahaView attachment 1078689
Njoo hapa nipo chumba 134
mefurahi ulivyoitika nimetulia sasaSanchez
Hizi juu ya Meza ni koroshoHahahahhahaha uwiiii watu wembamba tunakula hatunenepi