Queenever
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,051
- 3,018
Kwamba anapenda marafiki wa kiume tu😱😱Kwa maelezo yake bado tu hujaelewa kuonana naye maana yake nini? Sasa wewe unataka kuonana nae ili iweje? Au wewe ni wale wa 'rangi za upinde wa mvua'?