Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Mhusika ni wewe. Wewe ndiyo mhusika.Kuwa na ID sio lazma uchangie kila upuuzi na mm Sina shida na watu mnaojiuza Kama nyie na mimi siko nje, Niko kijijini huko nalima mpunga ....humu tunakuja kujifunza na sio kuleta mada za kujiuza
Ukweli unaishi kijijini ndiyo maana elfu 20 kwako ikawa tabu.
Jikubali acha kuzuga unaishi nje. Halafu subiri hivi umeshaona kuna mwanaume mwenye mapovu kwenye huu Uzi zaidi yako?
Haukwepi kuwa wewe ndiyo mhusika.