Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Utamwaminisha nani kwamba wewe siyo muhusika na wakati tangu umefungua hii ID ina post 24 na zote ni kwenye huu uzi?
Mzee baba Wit.... Aliyetaka kununua anayejiuza na yeye ni Malaya tuu.
Hauchomoki .
Biashara inapofanyika lazima kuna mnunuzi na muuzaji, ili biashara ife ni lazima ikose mnunuzi.
Kwahiyo waache unafiki wa kujiona wao wanunuzi wana wema na ni wasafi sana isipokuwa wauzaji ndio wakosaji. Wote wachafu tu.

Ndio maana huwa nawaambia hawa wanaojifanya malaika Gabriel kuponda ushoga wakati wao ndio wanaowatumia hao mashoga waache unafiki.
Shubaamiti zao, umalaya wafanye wote alafu kuchafua wamchafue mmoja!!!
 
Huyu mleta Uzi Kwanza kanifurahisha but Kama kweli alimaanisha mimi, Kuna picha naijenga juu yake...,
Usijidai siyo wewe. Wewe mtumie hela yake mwache aendelee kujiuza.
Unasemaje kwamba siyo wewe?
Soma hapo
IMG_20190423_145853_229.jpg
 
Kuwa na ID sio lazma uchangie kila upuuzi na mm Sina shida na watu mnaojiuza Kama nyie na mimi siko nje, Niko kijijini huko nalima mpunga ....humu tunakuja kujifunza na sio kuleta mada za kujiuza
Sio lazima uchangie upuuzi huu unaochangia humu ni uzi wa kilimo na wakulima? Kijijini umeenda lini wakati umesema wewe ni mfanyakazi mwenzie demiss. Nawe acha kununua uone kama hao wamaojiuza wataendelea kuuza.
 
Back
Top Bottom