Wanaume wa JF ni kweli huu ujumbe wa huyu dada?

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Dr. NN,
umeshasikia Pink pill inayoitwa Flibanserin?

if not please read the information here:
The Tyee – The Sex Pill for Women

Flibanserin - Wikipedia, the free encyclopedia

Ningependa kuwaambia mti gani hapa Tanzania hawa wajerumani waliufanyia Research (asante bibi kwa kunionyesha) lakini sidhani kama wanawake wa Tanzania watahitaji kuwa na hamu zaidi maana wanaume wetu uwezo wao wa kufanya ngono ni so limited na style zao ni tatu tu.

Nimeshtuka hapa nikaona niianzishie thread maanake hizi tuhuma ni nzito sana kwa Wanaume wa TZ popote walipo. Sijui Caren hii research kafanya na wangapi........
 
Watu siku hizi hawafanyi research ndugu yangu. Wanakurupika tu na kutoa ripoti za kupika. ignore the report my friend. Akitaka details aongee na wake zetu kama kazi haifanyiki ipasavyo
 
Hizo style TATU kazifahamu baada ya kutembea na wanaume wangapi?? Au kazifahamuje? Huwezi kufikia hitimisho la namna hiyo kutokana na mazingira ya tendo lenyewe..ila pia kinachozungumziwa ni mti au style??? I think ana lake jambo
 
Hii ni dharau kwa wanaume ! Tafiti ilifanyika wapi na sample size tujuze
 
Good analysis hata mimi nilishtuka kutuhumu wanaume wote TZ ina maana mpaka viongozi wakuu...OMG. sijui huu utafiti kahadithiwa au kapiga chabo sifahamu. Ni vigumu sana kujua kama trend ya performance kwa wanaume wote nchini imepungua. Mbon malalamiko hayaishi kwenye ndoa nyingi kuwa wanaume wanachosha wake zao na mtenenge? kuna thread kibao hata hapa zishawahi kujadiliwa ngoja nitafute baadhi tumu attachie hapa.
 
Kabla hamjatoa hukumu zenu naomba nitoe maelezo ya staili ambazo wanaume wetu wanatumia:
1. Kifo cha mende: Misionary Position
2. Mbwa koko: Doggy Style
3. Mwanamke Juu: Woman on top

Sasa najua wengi wenu mtajitamba kuwa mnatumia style zaidi ya hizi lakini kwa utafiti nilioufanya extensively kwa wanawake wenzangu walioolewa, wale wenye boyfriends na pia walioachika wote wanasema wanaume zao hawabadilishi style. 70% wanasema kifo cha mende ndio pekee inatumika. 25% wanasema wao wanarely on Dogy na only 5% say wanaombwa kuwa on top.

Wanawake wa JF niungeni mkono.

Nimeshtuka hapa nikaona niianzishie thread maanake hizi tuhuma ni nzito sana kwa Wanaume wa TZ popote walipo. Sijui Caren hii research kafanya na wangapi........
 
Nimeshtuka hapa nikaona niianzishie thread maanake hizi tuhuma ni nzito sana kwa Wanaume wa TZ popote walipo. Sijui Caren hii research kafanya na wangapi........

Hivi vitu vya kucopy na kupaste vina matatizo yake sasa sijui yeye hiyo research kafanya wapi na lini na kawafanyia akina nani I guess itakuwa labda alimfanyia research jamaa yake akagundua kuwa jamaa yake yuko so limited kwenye kufanya ngono na ana style tatu tu sasa yeye anataka watu waamini kuwa wanaume wote wako hivyo, poor her.
 
Kabla hamjatoa hukumu zenu naomba nitoe maelezo ya staili ambazo wanaume wetu wanatumia:
1. Kifo cha mende: Misionary Position
2. Mbwa koko: Doggy Style
3. Mwanamke Juu: Woman on top

Sasa najua wengi wenu mtajitamba kuwa mnatumia style zaidi ya hizi lakini kwa utafiti nilioufanya extensively kwa wanawake wenzangu walioolewa, wale wenye boyfriends na pia walioachika wote wanasema wanaume zao hawabadilishi style. 70% wanasema kifo cha mende ndio pekee inatumika. 25% wanasema wao wanarely on Dogy na only 5% say wanaombwa kuwa on top.

Wanawake wa JF niungeni mkono.

Ulizunguka mikoa mingapi? ulifika vijiji vingapi? research yako ilihusisha makundi ya wanawake wa aina gani e.g wasomi, wafanya biashara,waimba taarabu au house wife?
 
Kabla hamjatoa hukumu zenu naomba nitoe maelezo ya staili ambazo wanaume wetu wanatumia:
1. Kifo cha mende: Misionary Position
2. Mbwa koko: Doggy Style
3. Mwanamke Juu: Woman on top

Sasa najua wengi wenu mtajitamba kuwa mnatumia style zaidi ya hizi lakini kwa utafiti nilioufanya extensively kwa wanawake wenzangu walioolewa, wale wenye boyfriends na pia walioachika wote wanasema wanaume zao hawabadilishi style. 70% wanasema kifo cha mende ndio pekee inatumika. 25% wanasema wao wanarely on Dogy na only 5% say wanaombwa kuwa on top.

Wanawake wa JF niungeni mkono.

Hujakutana na wazee wa kazi kama NN wewe....kwa hiyo acha kabisa hizo broad generalizations zako. I'm ready and willing to put my money where my mouth is and prove it to you (kama unalipa).

Kwa nini tuandikia mate wakati wino upo?
 
Hii ni dharau kwa wanaume ! Tafiti ilifanyika wapi na sample size tujuze

Masanilo,
Siyo dharau kwa wanaume. Wanaume ni watu wazuri na kwa kweli nimeenjoy kuwa nao kabla ya kuolewa na ninaenjoy pia aliyeniowa. Ila ukweli lazima usemwe kwa sababu mara nyingi wanawake huwa hatuongei. Tunanyamaza tu na wanaume wanafikiri hatuhitaji variety.

Ngoja wanawake wenzangu wachangie ili mjue extent of the problem na pia wanaume wa style tatu naomba pia mkubali na kuadmit mbele ya hadhara.
 
Caren, caren weee, hebu ntakupa namba ya simu ya my wife wangu akujuze, au na yeye ulimuuliza??? style si lazima zianzie kwa mwanaume, tusiwe na mawazo kama ile story ya mwanaume wa kimasai na mwanamke wa kimakonde...au ndo utafiti aliufanyia huko umasaini???
 
Respect!

Hata kunako tiGo Style ni tatu tu! Sidhani kama ni tatizo kihivyo nadhani uliwapitia walikupa uzoefu huo

Sorry
 
Masanilo,
Siyo dharau kwa wanaume. Wanaume ni watu wazuri na kwa kweli nimeenjoy kuwa nao kabla ya kuolewa na ninaenjoy pia aliyeniowa. Ila ukweli lazima usemwe kwa sababu mara nyingi wanawake huwa hatuongei. Tunanyamaza tu na wanaume wanafikiri hatuhitaji variety.

Ngoja wanawake wenzangu wachangie ili mjue extent of the problem na pia wanaume wa style tatu naomba pia mkubali na kuadmit mbele ya hadhara.

Caren , acha mawazo ya zamani, hebu na wewe kuwa mjanja...staili ni kwa pande zote sio lazima mume tu...mfano hebu tupe wewe ulizompa mumeo hadi ufikie kusema yeye hajui.

What i know and whai I practice ( am married) ni kwamba huwa siku nyingine has weekend, mama huja na kitu kipya au mimi na kwa pamoja tunakiboresha.....badilika mpwa, ukiendelea ku-rely kwenye tafiti za namna hiyo utaachwa.
 
Masanilo,
Siyo dharau kwa wanaume. Wanaume ni watu wazuri na kwa kweli nimeenjoy kuwa nao kabla ya kuolewa na ninaenjoy pia aliyeniowa. Ila ukweli lazima usemwe kwa sababu mara nyingi wanawake huwa hatuongei. Tunanyamaza tu na wanaume wanafikiri hatuhitaji variety.

Ngoja wanawake wenzangu wachangie ili mjue extent of the problem na pia wanaume wa style tatu naomba pia mkubali na kuadmit mbele ya hadhara.

Hahahaaa wewe kweli yaelekea hujawahi kushughulikiwa hadi ukashindwa kusimama na kubaki kutetemeka.....heheheheeee....
 
Eli,
hapo hapo ulipo wageukie wanawake watatu waulize wakutajie style wanazotumia watu wao.

Ukimaliza fanya sample ya wanawake 10 wengine ili uweze sample ya ni wangapi kati ya watatu wako faithful to the 3 styles na ni wangapi kati ya kumi wako faithful to hte 3 styles.

Ukipata jibu njoo tujadili.

Caren, caren weee, hebu ntakupa namba ya simu ya my wife wangu akujuze, au na yeye ulimuuliza??? style si lazima zianzie kwa mwanaume, tusiwe na mawazo kama ile story ya mwanaume wa kimasai na mwanamke wa kimakonde...au ndo utafiti aliufanyia huko umasaini???
 
Caren, caren weee, hebu ntakupa namba ya simu ya my wife wangu akujuze, au na yeye ulimuuliza??? style si lazima zianzie kwa mwanaume, tusiwe na mawazo kama ile story ya mwanaume wa kimasai na mwanamke wa kimakonde...au ndo utafiti aliufanyia huko umasaini???

I can assure you kama mkeo anapewa zaidi ya hizo tatu na anawahadithia wenzake watakuwa wanamwona ana bahati sana kwa kuwa na mtu anayejua mapenzi.
 
Asante kunipongeza, basi kama ni hivyo unakubaliana nami, huu utafiti una mashaka, na hatuwezi kuzitumia taarifa hizi kutoa hitimisho.

Vipi mbona hujibu swali la msingi.....je ni lazima style aje nazo mwanamume tu?? mei nshkuambia ni mimi na mke wangu then wote tunaziobresha ili ku-fit our needs. ila HUWA HATUULIZANI TUMEZITOA WAPI
 
I can assure you kama mkeo anapewa zaidi ya hizo tatu na anawahadithia wenzake watakuwa wanamwona ana bahati sana kwa kuwa na mtu anayejua mapenzi.

Here we go again hivi kumbe kujua style ndio kujua mapenzi?
 
Back
Top Bottom