Wanaume wa JF ni kweli huu ujumbe wa huyu dada?

Wanaume wa JF ni kweli huu ujumbe wa huyu dada?

Asante kunipongeza, basi kama ni hivyo unakubaliana nami, huu utafiti una mashaka, na hatuwezi kuzitumia taarifa hizi kutoa hitimisho.

Vipi mbona hujibu swali la msingi.....je ni lazima style aje nazo mwanamume tu?? mei nshkuambia ni mimi na mke wangu then wote tunaziobresha ili ku-fit our needs. ila HUWA HATUULIZANI TUMEZITOA WAPI

Eli,
Kama hayo unayoyasema ni ya kweli basi wewe ni exception to the general rule. Nakiri kwamba wapo wanaume wachache ambao huwa wanajaribu style zaidi ya tatu. nasema wanajaribu boz ni kama by the way ili kukidhi curiousity yao kama wanaume baada ya kusikia mwenzio anahadithia au baada ya kuona kwenye porno mandingo akifanya. Ila haiko katika weekly menu yake.

as to swala la kuuliza umejuaje sishangai maana najua mkeo anajua kuwa siyo yeye aliyekufnza na anajua kuwa umefunzwa mahali maana si kawaida ya wanaume kuwa inovative kwenye ngono maana hizo tatu nilizozitaja ndo zinaleta bao haraka na not necesarily zinamsatisfy mwanamke.
 
Here we go again hivi kumbe kujua style ndio kujua mapenzi?

Nguli,
You are a typical men. Yes kujua styles ndio kujua mapenzi. mapenzi sio kukojoa sana na kwenda kujisifu kwa washkaji eti ohooo nimekojoa bao sita.

Mapenzi sio kutumia nguvu na kwenda kujidai ohhooo yule dada nimeshughulikia aisee hatanisahau.

Mapenzi is about quality na quality is always determined by variety of tastes.
 
Caren,
Achana na mada hii maana eneo hili ni nyeti sana kwa akina kaka.Utararuliwa bure.
Wao ni haki kuchambua ugoigoi wa wanawake lakini not the other way round. Pamoja na liberal thinking kwenye maswala haya...performance ya wanaume ni taboo subject just leave it at that for your own peace, safety and comfort lol.
 
mmmh, hapa leo pagumu. lakini msimhukumu sana caren yawezekana kuna ukweli ndani yake, who knows? i dunno.
 
Nguli,
You are a typical men. Yes kujua styles ndio kujua mapenzi. mapenzi sio kukojoa sana na kwenda kujisifu kwa washkaji eti ohooo nimekojoa bao sita.

Mapenzi sio kutumia nguvu na kwenda kujidai ohhooo yule dada nimeshughulikia aisee hatanisahau.

Mapenzi is about quality na quality is always determined by variety of tastes.
Hivi mapenzi hapa tuna maanisha kufanya ngono? kwa sababu ninavyojua mimi, hakuna kitu kinachoitwa kufanya mapenzi.......coz mapenzi hayaanzi kwenye styles ...kama nyie wenyewe mnavyosema.....inahitaji matayarisho.

Sasa tunaweza kuongea quality of ngono........na hapa tukiongelea QUALITY lazima kuwe na dimensions of Quality.

1) Style
2) handling
3) ability to sustain (timeliness)
4)
5)

Sasa wewe unachukuaje dimension moja ya Quality sex na kufanya conclusion???!!!
 
]Hivi mapenzi hapa tuna maanisha kufanya ngono?[/B] kwa sababu ninavyojua mimi, hakuna kitu kinachoitwa kufanya mapenzi.......coz mapenzi hayaanzi kwenye styles ...kama nyie wenyewe mnavyosema.....inahitaji matayarisho.

Sasa tunaweza kuongea quality of ngono........na hapa tukiongelea QUALITY lazima kuwe na dimensions of Quality.

1) Style
2) handling
3) ability to sustain (timeliness)
4)
5)

Sasa wewe unachukuaje dimension moja ya Quality sex na kufanya conclusion???!!!

Hapo kwenye red na mimi nilitaka kuuliza the same questions sijui yeye perception yake ikoje sababu sijui anaongelea style kuna zaidi ya hapo nafikir cha muhimu zaidi ni namna gani unavyomtayarisha mwenzako kwa kusudi wote muweze kuenjoy sidhani kama style ndio quality ya kuwa wewe ndio unajua kufanya mapenzi vizuri zaidi
 
Caren,
Achana na mada hii maana eneo hili ni nyeti sana kwa akina kaka.Utararuliwa bure.
Wao ni haki kuchambua ugoigoi wa wanawake lakini not the other way round. Pamoja na liberal thinking kwenye maswala haya...performance ya wanaume ni taboo subject just leave it at that for your own peace, safety and comfort lol.

WOS well said
 
Caren, naweza kusema HUJUI MAPENZI na wala HUJUI NINI KITU MAPENZI.
Kwako mapenzi ni style kwetu mapenzi ni zaidi ya style. Mimi Mke wangu namuandaa kabla ya hilo tendo la mwisho la kujamiiana na tunaweza kujamiiana popote, kwenye kitanda, kochi, sakafuni, juu ya meza, wima.
Je utasemaje style tatu?

Shame on You!!

Badirika, hauko sahihi katika hili!!!
 
mie ndio kabisaaa i doubt kama ziko tatu:becky:
mie nadhani ziko mbili,
hio ya woman on top,
wanawake wengi wa kiafrica /tanzania ni overweight,
sidhani kama wako comfortable 'kupanda'...
au ni mie tu:becky::becky::becky:
ila kweli caren,umeshift blame kwa wanaume tu...
nadhani maswala ya mikao na maujuzi ni rensponsbility yetu wote,
wanaume na wanawake....:confused2::A S 8:
 
Huu siyo utafiti ni kauli ya binafsi: reasons, 1. Inferences mbili zisizo fanana zimefananishwa.ie: hawahitaji nguvu za ziada kwa kuwa wana-style tatu tu!!?, kunauhusiano gani kati ya sexual vigar na style?. Amesahau kuwa wana-jf wengine wanavunja viti vya chumbani kila siku?
 
mie ndio kabisaaa i doubt kama ziko tatu:becky:
mie nadhani ziko mbili,
hio ya woman on top,
wanawake wengi wa kiafrica /tanzania ni overweight,
sidhani kama wako comfortable 'kupanda'...
au ni mie tu:becky::becky::becky:
ila kweli caren,umeshift blame kwa wanaume tu...
nadhani maswala ya mikao na maujuzi ni rensponsbility yetu wote,
wanaume na wanawake
....:confused2::A S 8:
Huyu haya hayajui! Utafiti wake hauna maana.
 
Caren,
Achana na mada hii maana eneo hili ni nyeti sana kwa akina kaka.Utararuliwa bure.
Wao ni haki kuchambua ugoigoi wa wanawake lakini not the other way round. Pamoja na liberal thinking kwenye maswala haya...performance ya wanaume ni taboo subject just leave it at that for your own peace, safety and comfort lol.

Thank you woman of substance,
I try as much as possible not to criticise men at JF maana wa kwangu naye ni mdau sana hapa na nikiwekaga comment mbaya au ya kucriticise unakuwa bonge ya ugomvi nyumbani. Ila leo nilipokuwa kazini leo tulianza tena hii debate na baada ya muda tukarealise wanaume wote wa pale ofisini style zao ziko so limited na haziko kisomi sana. (I mean a typical MBA, Msc or even Phd type guy doesnt know how to vary his performance to reflect his changed state. He performs exactly the same way as he did when he tried for the first time at either Oleve, A level or university).

Men may think its a taboo to say thir things but we say anyway and increasingly kwenye kitchen party tunaanza kupata mwamko kuwa wanaume arent as strange as we thought they are. When women will realise that men are as predictable as their sexual styles ad will never change or even attempt to change thats when women will be liberated.
 
Hivi mapenzi hapa tuna maanisha kufanya ngono? kwa sababu ninavyojua mimi, hakuna kitu kinachoitwa kufanya mapenzi.......coz mapenzi hayaanzi kwenye styles ...kama nyie wenyewe mnavyosema.....inahitaji matayarisho.

Sasa tunaweza kuongea quality of ngono........na hapa tukiongelea QUALITY lazima kuwe na dimensions of Quality.

1) Style
2) handling
3) ability to sustain (timeliness)
4)
5)

Sasa wewe unachukuaje dimension moja ya Quality sex na kufanya conclusion???!!!

Kindly revisit the definition of style although i must admit i spoke in the context of sex. Kama unaongelea suala la handling in tems of pleliminaries prior to sex basi ndo kabisa unaharibu crediility ya wanaume. Yaani katika hiyo zone ya foreplay you will find very few men are aware of the process (which reminds me of the guy who instead of giving me tongue kiss alikuwa analazimisha ulimi wake uingie wote mdomoni not realising that such an action could choke me!!!!!!).

Back to the highlighted parts. To get all the things you stated above and those in 4 and 5 which you didnt list a man needs to know how to handle a woman and handling means knowldege of styles and which styles go with which romance. Sijui kama wanaume wangapi wanafahamu lets say kuwa kwenda chumvini hakuko compatible na dogy style? the process of turning and geting your orientation a lot of precious moments is lost.

I wish i could say more.
 
Mimi Mke wangu namuandaa kabla ya hilo tendo la mwisho la kujamiiana na tunaweza kujamiiana popote, kwenye kitanda, kochi, sakafuni, juu ya meza, wima.
Je utasemaje style tatu?

Shame on You!!

Badirika, hauko sahihi katika hili!!!

That is the problem hizo ulizotaja siyo style. hizo ni location ingawa i must say i am impresed kama kweli huwa unafanya sehemu zote hizo. (Najua kama wanaume wenzio kama hawatahisi kuwa unajisifia basi watakuwa wanakuonea wivu. Majority ya wanaume ni watu wa kitanda. Akizidisha sana ni kwenye kochi tena hii ni enzi zile za ujana.

Kuhusu styles unaweza kwa kweli ukafanya kooote huko ulikokutaja lakini bado ukawa unatumia style moja tu ya kifo cha mende.
 
I am missing something! Whats ur point kwenye hili tundiko?
 
Back
Top Bottom