Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke ni Altezza?Mwanamke kuhudumiwa
Umevurugwa? Mustakabali wa maisha unajadiliwa chitchat?bridalmask said:Humu JF dada si mahala pake, kama ni papuchi yako peleka kule kwani si unajua magulio yenu.
Humu tuna discuss masuala nyeti ya Mustakabali wa Maisha, pamoja na Taifa letu lilokosa Dira.
Au tuna jadili masuala ya Msingi na yenye Tija na siyo biashara ya viungo vya mwili hasa papuchi isiyo na soko zaidi siku hizi ni nyongeza tu kwa wengine..useless....STOP IT PSE and very sorry to give u white coz I never like black at all+STUPIDITY.
Acha ubahili mtumie mrembo hela bana weAah!!! Altezaaaa ulinunua Alteza ukiwa huna hela ya mafuta??? Uza Alteza ununue mafuta!!!
Nipe namba yako nkutumie M-pesa ya mafuta ya AltezaAcha ubahili mtumie mrembo hela bana we
Sijui hujaelewa madaHiyo Alteza ni kwa ajili ya kufuata wanaume?
Mie sina alteza bana. Mtumie JaneNipe namba yako nkutumie M-pesa ya mafuta ya Alteza
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mie sina alteza bana. Mtumie Jane
Au tuma afu nimtumie Jane[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Owkey[emoji106] hapo sawa.Au tuma afu nimtumie Jane
Haya rusha basiOwkey[emoji106] hapo sawa.
Kwa hiyo kukuona tu atoe pesa, wewe ni SINEMA?Soma mada vizuri. Hapa nazungumzia wanaume wa JF. Mtu anataka tuonane halafu gharama ya mafuta juu yangu