Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

Hahaha ulivyohongwa ulijua inatumia michemsho?? Uza altezza upate nauli ya mabasi ya mwendo kasi! Wanawake wa Dar bana kutwa kupiga mzinga,alafu ukimpeleka ghetto kukamua makelele meeeengiiiiii
Tena milio ya Nokia ringo
 
Sura ninayo. Na shepu ninayo. Huwezi kunilinganisha na videmu vichovuchovu
 
Eti mtu wiki nzima anakutumia PM ooh Jane nakupenda. Ooh umependeza sana. Ooh you are the most beautiful girl on earth. Basi unamwambia nitumie hela ya mafuta niweke kwenye Altezza yangu nikufuate ulipo. Loooo! Longolongo zinaanza. Punguzeni uhewa nyie.
Unajidharirisha.... yaani umesifiwa n kuambiwa unapendwa basi ukapiga mzinga...!!! Huna mia nne yavkupanda daladala ukamfuaya aliko..?
 
Sura ninayo. Na shepu ninayo. Huwezi kunilinganisha na videmu vichovuchovu
Ahahahahaaha Jeniiiii.... hivi unajuwa kina watu wanakuona wewe ni demu mchovu..?? Maana demu kuwa mchovu inategemea unamringanisha na nani...
 
Kaziiii kweli kweli, inakuwaje vidume mnashinda PM halafu kwenye financial mnashindwa kuonyesha ushirikiano?
 
hahaaa ila humu jf kuna members vichomi daily kwenye Pm hawachoki khaaa...
Tokea siku ile utupie picha zako hapa JF hadi leo nina hamu ya kukutumia pesa za mafuta ya altereza dear! [emoji1]
 
Back
Top Bottom