Wanaume wa JF rahisi sana kuchunwa

Dogo mbona huna adabu?! Kwanini umefanya kitu cha kishamba kama hiki!! Hata kama ni watoaji we inakuuma au ni nini kimekuwasha?!
Hela za kwako unataka uwapangie matumizi?!! Unless kama ID zote ziwe za mtu mmoja kaja hapa kujipigia pande.
Mbona povu!
 
Hahhaha ila umenifungua masikio kama nimemmanya niko poa dada akee sijui wewe dear
Hahahaaa. Ndo huyo huyo. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ

Mie Alhamdulillah niko salama. Haya dada siku njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…