Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mbona povu!Dogo mbona huna adabu?! Kwanini umefanya kitu cha kishamba kama hiki!! Hata kama ni watoaji we inakuuma au ni nini kimekuwasha?!
Hela za kwako unataka uwapangie matumizi?!! Unless kama ID zote ziwe za mtu mmoja kaja hapa kujipigia pande.