Wanaume wa JF rahisi sana kuchunwa

Wanaume wa JF rahisi sana kuchunwa

Mimi binafsi nimeshatuma sana nauli humu , ukishafanya muamala tu mgeni anapotea. Kuna wengine nawaona wapo online ila sijali kuhusu fedha, urafiki una thamani kubwa sana unaweza kupoteza nafasi muhimu kwa ajili ya mawazo mafupi ya "kupiga hela".
 
Hakuna wanaume watoaji mapesa na wapenda sifa kama wanazo kama wa humu JF. Ukilia kidogo tu mapesa ntawataja kwa majina hapa tukianza na babu yetu mzee mwenye utoaji wa hali ya juu Asprin na mzee mshana jr

Ukilia tu imethibitishwa ila tahadhari ndoa za watu humu wengine wanandoa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]

Jr[emoji769]
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji30][emoji30][emoji30][emoji848][emoji848][emoji144]
ila kwa mzee mwenzangu Mshana Jr naweza kuunga mkono hoja maana jamaa anapenda mizigo kama sheikh kipoozeo asieamini amuulize @demiss

Jr[emoji769]
 
Dogo mbona huna adabu?! Kwanini umefanya kitu cha kishamba kama hiki!! Hata kama ni watoaji we inakuuma au ni nini kimekuwasha?!
Hela za kwako unataka uwapangie matumizi?!! Unless kama ID zote ziwe za mtu mmoja kaja hapa kujipigia pande.
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom