Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

yes, uzoefu ninao nilikomeshwaga,ila mwanangu ndio kila kitu kwangu
si last seen ilikuwa saa nane na asubui hii tayari uko jf au uko Afghanistan
Nna tatizo 1 kubwa mara nyingi sana mie huiacha cm online ..... nakuwa offline mara chache sana .... naweza kuwa nmelala na mtu akadhan nachat ......

By the way pole kwa KUKOMESHWA
 
Nna tatizo 1 kubwa mara nyingi sana mie huiacha cm online ..... nakuwa offline mara chache sana .... naweza kuwa nmelala na mtu akadhan nachat ......

By the way pole kwa KUKOMESHWA

hahahahahahahahahaha poa poa
Nashukuru
 
yes, uzoefu ninao nilikomeshwaga,ila mwanangu ndio kila kitu kwangu
si last seen ilikuwa saa nane na asubui hii tayari uko jf au uko Afghanistan
Ulikomeshwaga vipi dear,tupe ka ubuyu kidogoo..
 
Single mother alichonifanyia siri yangu,hadi leo sina mapenzi ya kweli kwa wengine.

Nimekuwa wa kubadilisha wanawake kila siku hadi sasa na kwa bahati mbaya nimejikuta nazalisha wanawake wawili.

Nimeongeza single mother wawili tena wakati sitaki kuwaoa,nitaoa ambaye hajazalishwa.

Kaa mbali na single mother ni sumu kali.

Sasa ndo umefanya nini? Mnatukana single moms wakat ninyi wenyewe ndo chanzo cha kutengeneza single moms. Utalipwa kwa kadri ya ubaya wa moyo wako. Only time will tell
 
Single mothers ni sawa na second hand goods.
Nlimdate single mother alinikuwa na kiburi cha ajab sana.
Misonyo na vijembe kutokana na issues za mtoto uzizoee bcz kuna mitoto mingine ni jeur afu ukiizingua nawe unazinguliwa.
Usioe single mother there is nothing there.
 
Back
Top Bottom