Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Siunajua single mothers asilimia kubwa wanapata 50% ya mishahara ya ex Dady zao. Ndio maana wanaume wanalalamika wanavyopigwa hapo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupasha hata kwa msichana yoyote asiyejithamini anaweza Fanya hvyoo

Mwanaume mwingine katelekeza watoto hata kumsikia tu mwanamke hutaki then kirahis rahis tu upashe kiporo!!

Sio kweli
Geni kwani we singo maza[emoji15]
 
Kweli jf ni kichaka, na hapa ndipo jf inachanganya.
Maana ulicho kiandika ni tofauti na I'd yako aiseeee.....
maana yangu ni hii mkuu hawa single mothers hawajajipa mimba wenyewe so tusiwalaumu sana na kingine wadada wa jf waanzishe kampeni kuhusu single fathers kama wanaume wa jf walivyo against na singel mother umensoma Ushimen
 
INCUBATOR
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mtalaka hatongozwi mwanaume anakumbushia tu.pia single mothers wanakuwa na stress za kutaka faraja ya mapenzi na msaada kwa mtoto hivyo mwanaume ni rahisi kukubaliwa na single mother.sasa ukishamtunza single mother akipendeza hii list yote inamuandama yeye wanataka kukumbushia.baba mtoto wake kila saa anampigia simu kumuulizia hali mtoto wake kila akiongea na simu ukimuuliza ulikuwa unaongea na nani anakujibu baba mtoto mtu anakuwa na wivu mpk anaumia na mwisho wa siku anamuacha
 
Vp Illuminata. Na wewe una mimba ya miezi mingapi sasa hivi? Yule bwana aliyekupa mimba keshakuacha?
 
To me they did nothing wrong I just see them as strong one to decide to carry in with their life rather than being treated so bad no love found just love lost from the man that was the reason behind them be calling single mother. And on the other hand I don't think is the right thing to use abusive language whole we are talking about them coz most of us are being raised by single mother since the father didn't want to take full responsibility of the situation.. Almost all of men can impregnant a woman but not all of us can be a real father so mind yo that... [emoji17]
 
maana yangu ni hii mkuu hawa single mothers hawajajipa mimba wenyewe so tusiwalaumu sana na kingine wadada wa jf waanzishe kampeni kuhusu single fathers kama wanaume wa jf walivyo against na singel mother umensoma Ushimen
Hapo sawa mkuu.
Nime kuelewa sawia.
Lakini.....
Misijui kwanini hili swala la single mama's linaendela kutamalaki. Pengine hii inasababishwa na sisi wababa kutokuwathamini watoto wetu hata kama tayari tume tofautiana na mama zao.
Kimsingi wababa tunapaswa kubadilika tu na kujipanga katika swala zima la malezi, hii ikiwa pamoja na kuamua kuwachukua watoto wetu na kuwalea kama wababa wenye upendo kwa watoto wao, na sioni kama kuna ubaya ikiwa wazazi tukaweka taratibu za watoto kutembelea mzazi wa upande wa pili ikiwa watataka kufanya hivyo.
 
Katika wababa ambao hawaja wahi kuponda single mama's, na mimi ni mmoja wao.
Bahati njema sana nilijaaliwa kuwachukua wanangu, wanaishi kwa raha mustarehe, hawajawahi kujuta na tuakula pata pamoja.
[emoji109] [emoji109] [emoji109] kula gwala!

hongera lea wanao!!
 
UKWELI WANAWAONEA UWIVU SINGLE MOTHERS. .KWA SABABU WANAWAKE HAWA HUWA NI VERY TOUGH. ..YOU CAN'T BREAK THEM. .NA HUWA WANAJIAMINI SANA KATIKA MAMBO YOTE YA MAISHA. ...ANAPANGA MIPANGO INAYO PANGIKA. .KWA KWELI NAWA SALUTE ALL SINGLE MOMS WA TANZANIA. ..KEEP IT UP LADIES. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…