Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Kila penye single mother kuna single father pia, anaonekana mwanamke sababu tu yeye ndo anaachiwa mtoto
 
Hellow JF,

Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?

Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
Shida ndiyo wamejaa humu, midomo mirefu afu ukiwafuatilia wengi wao chai maharage ata awafiki mlo kamili.

Wanatabia mbaya sana most of them, siyo wote ila kujifanya wanajua sana maisha hasa wakikutana abstain bachelor! Hivyo tunawachora kwanza badae unagundua huyu regular tuu maisha hajui na tabia mbovu ndiyo hapo thamani inashuka kama bei ya nyanya..[emoji41]
 
nyoooo!!chapa ilale sio kweli!!

chapa ilale ni tabia ya mtu tu!
Sawa ni tabia ya NTU na ntu Ila ile kondisheni ya kuzaa na lijamaa fulani hivi huko[emoji15] inawafanya thamani ya nyie kupendwa ishuke

Ukiona umependwa jua umependwa kimashakamashaka tu Ila jamaa bado hana imani labda alivutiwa na uzuri wako tu au una chura [emoji196] amazing

But the case wewe kuwa singo maza na jamaa yako yupo bado ni tatizo unsolvable[emoji2]
 
Siku zote mwanamke mtu mzima huzaa na mwanaume aliyempenda ila mambo hutuendea kombo tu na hatupendi itokee hivyo, ila Dunia ni uwanja wa mapambano na Mwanamke jasiri huendelea kupambana hata mkiwakosoa muwakosoavyo hatupi mtoto wake
iwe leo iwe kesho nikiwa single mother sitakatishwa tamaa na wanaume wenye akili hasi

sijasema mnatupa watoto wenu ila kuna sababu nying ambazo zimewekwa kuwakosoa single mothers zinaweza kuwa za kwel au uongo kutegemeana na how you defend it... kuna vitu ving sana mfano single mother anaweza kurise mtoto wake bila shida when she is alone ila once akianzisha mahusiano mapya mambo hubadilika sana na wanaume tuko hv once nmeamua kukuchukua na mwanao tunahtaj wote muwe chin yetu ila sasa mkianza habar za mzaz mwenza hapo ndipo watu tusipopataka kwa maana kama alikua sana shida na mtoto asingemuacha from fast place.
 
Kila penye single mother kuna single father pia, anaonekana mwanamke sababu tu yeye ndo anaachiwa mtoto
Wewe unajua huu mchezo mwisho utakuumiza wewe kwanini uucheze ngoja wakome, mshahara wa dhambi nimmauti mkuu.
 
Kwaiyo wewe ushauri wako kwa ma binti ni Upi Wakipata mimba watoe ili waepuke kuku over work au bora wawe single mother!?
Ushauri wa kwanza wasipate mimba, muangalie mwanaume uliye naye kama unaona kichwa maji au hamtafika mbali usizirushu bahti mbaya ziwepo.
Ushauri wa pili ukipata mimba, usubiri mnyonge wako umshike ila akitokea mtu akashindwa kuwa na wewe kwa sababu una mtoto hata usilaumu wala kujitetea, keep quite uendelee na maisha. (Isipo kuwa aliye fiwa na baba wa mtoto wake huyu namtetea hana kosa hapo)
 
Achana nao wasikuumize kichwa Bora Mimi single mother najitambua na jamii inajua hivyo kuliko wao wanalea watoto wa wanaume wenzeo bila kujua, na wamelelewa na ma Baba ambao si wao
hili ndilo linalonifanya nisite kuoa maana hawa wawili nilionao nishaanza kuwa na wasiwasi
 
Yule mwanao mpendwa ameshazaliwa?kama bado mimba ina miezi mingapi sasa hivi?.........Usihofu wala hautakuwa single mother dear!
 
Sawa ni tabia ya NTU na ntu Ila ile kondisheni ya kuzaa na lijamaa fulani hivi huko[emoji15] inawafanya thamani ya nyie kupendwa ishuke

Ukiona umependwa jua umependwa kimashakamashaka tu Ila jamaa bado hana imani labda alivutiwa na uzuri wako tu au una chura [emoji196] amazing

But the case wewe kuwa singo maza na jamaa yako yupo bado ni tatizo unsolvable[emoji2]

huo mtazamo wako siwezi pinga!
 
Hellow JF,

Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?

Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
wengi ndo wanaowaponda ndio chanzo cha usingo maza....... keyboard zinaficha mengi sana hahahaha
 
Back
Top Bottom