Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bahati mbaya hawana alama hawaukitoa mimba unakuwa MAMA ULIYEFIWA NA MTOTO😀😀😀😀
nyoooo!!chapa ilale sio kweli!!Ila singo maza watamu sana kunako [emoji14]
Sema ndo vile tena mshageuzwa "chapa ilale"
Haha kwengine nakuamini, ila kwenye ulabu mmh, ngoja nijitahidipo lolNiamini tu mkuu, mimbona nakuamini sana..[emoji5] [emoji5]
Shida ndiyo wamejaa humu, midomo mirefu afu ukiwafuatilia wengi wao chai maharage ata awafiki mlo kamili.Hellow JF,
Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?
Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
Eeeh!Ni kweli huwezi jua ya kesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli jf ni kichaka, na hapa ndipo jf inachanganya.
Maana ulicho kiandika ni tofauti na I'd yako aiseeee.....
Sawa ni tabia ya NTU na ntu Ila ile kondisheni ya kuzaa na lijamaa fulani hivi huko[emoji15] inawafanya thamani ya nyie kupendwa ishukenyoooo!!chapa ilale sio kweli!!
chapa ilale ni tabia ya mtu tu!
hujambo kijanaHayo ndiyo maajabu [emoji23] [emoji23]
Siku zote mwanamke mtu mzima huzaa na mwanaume aliyempenda ila mambo hutuendea kombo tu na hatupendi itokee hivyo, ila Dunia ni uwanja wa mapambano na Mwanamke jasiri huendelea kupambana hata mkiwakosoa muwakosoavyo hatupi mtoto wake
iwe leo iwe kesho nikiwa single mother sitakatishwa tamaa na wanaume wenye akili hasi
Wewe unajua huu mchezo mwisho utakuumiza wewe kwanini uucheze ngoja wakome, mshahara wa dhambi nimmauti mkuu.Kila penye single mother kuna single father pia, anaonekana mwanamke sababu tu yeye ndo anaachiwa mtoto
Ushauri wa kwanza wasipate mimba, muangalie mwanaume uliye naye kama unaona kichwa maji au hamtafika mbali usizirushu bahti mbaya ziwepo.Kwaiyo wewe ushauri wako kwa ma binti ni Upi Wakipata mimba watoe ili waepuke kuku over work au bora wawe single mother!?
hili ndilo linalonifanya nisite kuoa maana hawa wawili nilionao nishaanza kuwa na wasiwasiAchana nao wasikuumize kichwa Bora Mimi single mother najitambua na jamii inajua hivyo kuliko wao wanalea watoto wa wanaume wenzeo bila kujua, na wamelelewa na ma Baba ambao si wao
MUNGU niepushie kikombe hiki kisinifikeTena wanaolea watoto wasio wao kwa kudhani ni watoto wao ni wengi,lakini hilo hawalifikirii daily wanazungumzia kuhusu single mothers tu,wanaboa sana!
Sawa ni tabia ya NTU na ntu Ila ile kondisheni ya kuzaa na lijamaa fulani hivi huko[emoji15] inawafanya thamani ya nyie kupendwa ishuke
Ukiona umependwa jua umependwa kimashakamashaka tu Ila jamaa bado hana imani labda alivutiwa na uzuri wako tu au una chura [emoji196] amazing
But the case wewe kuwa singo maza na jamaa yako yupo bado ni tatizo unsolvable[emoji2]
HahahahaKweli jf ni kichaka, na hapa ndipo jf inachanganya.
Maana ulicho kiandika ni tofauti na I'd yako aiseeee.....
wengi ndo wanaowaponda ndio chanzo cha usingo maza....... keyboard zinaficha mengi sana hahahahaHellow JF,
Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?
Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
Yeah mkuu...Hahahaha
Atakuwa amechanganya tuu
Mi mwenyewe nime mshangaa