Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Sawa ni tabia ya NTU na ntu Ila ile kondisheni ya kuzaa na lijamaa fulani hivi huko[emoji15] inawafanya thamani ya nyie kupendwa ishuke

Ukiona umependwa jua umependwa kimashakamashaka tu Ila jamaa bado hana imani labda alivutiwa na uzuri wako tu au una chura [emoji196] amazing

But the case wewe kuwa singo maza na jamaa yako yupo bado ni tatizo unsolvable[emoji2]
Mwingine aliolewa wakadivorce ,mwingine ni mtu aliyekua ana malengo na mengi tu!
Bahati mbaya hawakudumu!

Suala la kushuka thamani inategema huyo mdada pia anavyojiheshimu na namna anavyothamini yy mwenyewe!

Wapo wanaowapenda hao single mothers kwa dhati kabisa ya moyo na wakaishi kwa amani katika maisha yao

Hapa wengi ni vijana na wana mitazamo tofauti!
 
Sio kweli kwamba mzazi mwenza anaweza akajipigia atakavyo kisa una mtoto nae tatizo wengi mmekariri hivo but hiyo kitu haipo kwa wote.
Kumbe ipo lakin sio kwa wote.? Aiih unantisha sas kuhus kuw na single mother [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
hivi hakuna ma single dady??
na kama wapo mbona sija wahi kusikia wakisemwa kama single mother ??
kwan wao hawana mapungufu??
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupasha hata kwa msichana yoyote asiyejithamini anaweza Fanya hvyoo

Mwanaume mwingine katelekeza watoto hata kumsikia tu mwanamke hutaki then kirahis rahis tu upashe kiporo!!

Sio kweli
Naomba nikuelewe hapo "Kirahisi Rahisi" Atatumia muda gani kufanikisha zoezi??
 
Wewe unajua huu mchezo mwisho utakuumiza wewe kwanini uucheze ngoja wakome, mshahara wa dhambi nimmauti mkuu.
Hivi wakati mnacheza unaweza jua huyu jamaa ataniumiza halafu uendelee kuucheza kweli?? Hamna anayejua ila likishatokea ndo utamjua mwenzako yuko kwenye msimamo upi.
 
Nawaheshimu sana single mother honestly . Kulea mtoto peke yako si kazi rahisi. Malezi ni zaidi ya kuwa na hela aisee. Mtoto kazidiwa usiku unakimbizana naye peke yako, how you wish angekuwepo baba yake akaku-hug tu na kukwambia tu "our kid is going to be ok". Let alone mtoto anavyoanza kukuuliza, mama mbona mimi baba yangu simjui au hatukai naye kama wenzangu". Bado socila rejection hapo. And honestly kuna part ya malezi ambayo baba anaiwezea zaidi kuliko mimi. Wawili sio sawa na mmoja. But all is well, yakitokea unajipanga tu unakuwa both mama na baba

Kuna single mothers ambao waliamua kuacha ndoa zao, wakajibebea watoto wao na kuwalea vyema. Hongereni strong women, sio wanawake wote wana guts za kutoka kwenye toxic relationships, wengine wanabaki tu kisa akiachika eti hakuna mwanaume atayemkubali na wanae,... woman, know your worth. Tutawaita majina yote, but nyie ndo mnajua vyema nini kiliwatoa, na mnajua ni kipi mnachokitaka kwa ajili ya maisha yenu. But mabinti pia, jamani huyo ni boyfriend wako sio mumeo, ooh sijui nampenda sana namzalia, zaa tu mama ila usije kulia jamani. Mtu una boyfriend anawachanganya wanawake watatu, ila unahisi ukijibebesha mimba ndo atastick na wewe pyeee. Na mwingine anakwambia kabisa hana future na wewe, ila bado tu unajiachia naye kama mumeo mmh. Ataenda kuoa mwenzako pamoja na kuwa single faza na wanawake watamgombania tu, subiria wewe sasa .

Tabia ya kupasha viporo, wanayo tu watu wengi, ila single mum akipasha kiporo au akichepuka, hatutomjudge kuwa ni Tabia tu ya wanawake wasio waaaminifu, ila tutajudge tu kuwa single mazas ndivyo walivyo. Wote tunakosea, ila ukishakosea jifunze kosa lako, usirudi tena ulipotoka na usiruhusu past yako iwe inakumbushiwa kila mara. S/O kwa single mazas wote mnaojitambua na msiokubali past zenu zisiwakatishe tamaa. You are already good enough, Mtu/jamii isiwafanye mkajiona hamna thamani. Mkijithamini na kujiheshimu nyinyi wenyewe kwanza, then kila mtu atawathamini, na hata tusipowathamini inahuuu kwani. Makosa yalishatokea, hayawezi kufutika but mna uwezo wa kutengeneza present na future yenu vizuri sana
 
Mwingine aliolewa wakadivorce ,mwingine ni mtu aliyekua ana malengo na mengi tu!
Bahati mbaya hawakudumu!

Suala la kushuka thamani inategema huyo mdada pia anavyojiheshimu na namna anavyothamini yy mwenyewe!

Wapo wanaowapenda hao single mothers kwa dhati kabisa ya moyo na wakaishi kwa amani katika maisha yao

Hapa wengi ni vijana na wana mitazamo tofauti!
Walio divorce wengi kukumbushia ndio rahsi zaidi wakikutana.

Ila mi najua mwaamke yeyote hata single mother mwenyewe hawezi kupenda mtoto wake wa kiume aje atunze watoto wa dume lenzie.

Ila kuna wale watu wazima vya kumalizia uzee pamoja sawa tuu hivo. Hao ni single grand parents[emoji1]
 
Back
Top Bottom