Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Maana yangu kua hawezi kukubali hayo mahusiano!kwa Mtu anayejielewa!Naomba nikuelewe hapo "Kirahisi Rahisi" Atatumia muda gani kufanikisha zoezi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yangu kua hawezi kukubali hayo mahusiano!kwa Mtu anayejielewa!Naomba nikuelewe hapo "Kirahisi Rahisi" Atatumia muda gani kufanikisha zoezi??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndo tatizo wakati humu kila siku watu wanaleta thread za matatizo na wapenzi wao
Sijui masingle mothers hao!
Aiih who said that.? Kama ipo kwa Law mbna haifuatwi.? Kurareki nmeshawah kuw kwa mahusiano na single mother na yule jamaa Ju alizaa nae hakuw anatoa hataaa 10, na alikuw ako na gud job ati couple of mils for a salary bt hey me ndo I used to sponsor that Boy as if he was my own, fees en stuffs.. Hadi akaw ananiita Dad en he was a gud kid..Siunajua single mothers asilimia kubwa wanapata 50% ya mishahara ya ex Dady zao. Ndio maana wanaume wanalalamika wanavyopigwa hapo
Na wengine kipindi hicho walikuwa wanasema kwa kulia 'ingiza yote'!Kwani walishikiwa kisu ili watiwe mimba
Si waliachia mzigo wenyewe[emoji2]
Cheza kwa madoido mamaHivi wakati mnacheza unaweza jua huyu jamaa ataniumiza halafu uendelee kuucheza kweli?? Hamna anayejua ila likishatokea ndo utamjua mwenzako yuko kwenye msimamo upi.
Kwani hukujua jamaa anachapa kavukavu[emoji3]kwani mi nilijua hicho kibao ni cha mimba
aahhh!wapi inategemea mliachana vipi!Walio divorce wengi kukumbushia ndio rahsi zaidi wakikutana.
Ila mi najua mwaamke yeyote hata single mother mwenyewe hawezi kupenda mtoto wake wa kiume aje atunze watoto wa dume lenzie.
Ila kuna wale watu wazima vya kumalizia uzee pamoja sawa tuu hivo. Hao ni single grand parents[emoji1]
nilijua ila sikujua kama zina mimbaKwani hukujua jamaa anachapa kavukavu[emoji3]
Sasa nikimjua unadhani nitaendelea nae?? Yaani huwa unajuaga too late, na mwanaume ambaye ni mpitaji likishatokea suala la mimba ndo anabadilika kabisaCheza kwa madoido mama
Yaani mtu ambaye hamfiki mbali uta mjua tuu. Kuwa makini unavo cheza
Hehehehehehehe kuwa bao la mwanaume lisiloleta mimba[emoji2]nilijua ila sikujua kama zina mimba
kwan kumimbwa ni adi ubakwe tuu??hukupenda!!!!? ulibakwa?
Ebu acheni upuuzi maana mwanamke usiye na uelewa kuwa uko kwenye danger zones, hadi unapata unplanned pregnant kwa haraka mwanaume mwenye malengo na smart anaona hufai aisei.Hivi wakati mnacheza unaweza jua huyu jamaa ataniumiza halafu uendelee kuucheza kweli?? Hamna anayejua ila likishatokea ndo utamjua mwenzako yuko kwenye msimamo upi.
aahhh!wapi inategemea mliachana vipi!
watu mmeachana kwa vurugu mpk mawasiliano au uhusiano mzuri umekufa!!
mnapashana kiporo wapi....!!
Kusingekuwa na single mother kawa Kusingekuwa wanaumw wenye tamaa na wanaoogopa majukumuHellow JF,
Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?
Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
pole sana Mkuu naona umeongea kwa uchungu sana. japo na mimi nshamfanya mtu kuwa single mother ila pia wasiwachukii kabisa masingle MamaaHellow JF,
Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?
Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asanteeeJmani ishu ya kuhukumu watu sio nzuri hata kidogo.
kila nikiwazaga haya namkumbuka Danielle steel. who am I to judge?
nimeona single mothers wengine wanakuwa faced na hii situation kwasababu ya circumstances too. Hivi niwaulize nyie wanaume ambao mnatoka kwenye familia za kichawi baba, mama , dada, kaka ni wachawi. Ambao wanakula watoto wenu na wanataka kuwabebesha mikoba mbona hamsemi hayo jamani? tumeona ndoa za wengi tu zikivunjika kisa ndg wa mume ni wachawi na mwanaume ni mshiriki wa hizo madhabau.
mbona hamsemi pale ambapo nyie wenyewe as wanaume mnasahu wajibu wenu wa kulea na kutunza familia adi mnamtwisha mwanamke huu mzigo? Ukiona mwanamke anang'ang'ania kulea mwanae alone ujue kuna sababu. Mtu mwanae wa kwanza kaliwa nyama sasa unataka aendelee kukaa hapo?
achilia wale wanaume surual ambao wao wanajua kutia mbegu tu kulea hawajui hivi utahangaika na jitu la hivi la nini? mwache huyu mama aendelee na hamsini zake. atalea mwanae atakua.
ikitokea umempenda just love her na mtoto wake kama aambavyo angekuwa wako angelelewa na mwingine. unapotaka kumpenda mtu basi angalia potential ndani ya huyo mtu na sio swala la usingle mother. so far wanaume wa kizazi hiki ndo mko hivyo kulia lia tuu mkaacha kutafuta maisha na kutimiza wajibu wenu kama wanaume.
uliza vizuri baba ama babu yako alilea mtoto wa mkewe na hakuwah kulalamika lalamika alijua huo ni wajibu wake period.
nampenda sana mwanaume ambaye akimpenda mwanamke hata kama anamtoto basi humchukua mtoto kama ni wake bila kulalamika lalamika kama wanaume wa mitandaoni